Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X "Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni...
0 Reactions
2 Replies
325 Views
Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi? Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo...
5 Reactions
21 Replies
637 Views
Wapinzani walipoteza Fursa muhimu sana kwa kuuwa Ule Umoja wao wa UKAWA Sidhani kama itakuwa rahisi kumpata Mzee Kikwete mwingine mwenye kuwakaribisha Ikulu Wapinzani na kutoa Fursa ya Mawaziri...
2 Reactions
7 Replies
263 Views
Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya...
1 Reactions
18 Replies
913 Views
Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu! 1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa...
5 Reactions
71 Replies
3K Views
Nimemuona Rais Mwinyi akiwa Uchina akipigia debe, pamoja na mambo mengine, Bandari ya Mangapwani. Katika hotuba zake kadhaa, Rais Mwinyi ameonyesha nia ya dhati kuifanya bandari hiyo iwe kubwa...
1 Reactions
3 Replies
287 Views
Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa. Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
0 Reactions
8 Replies
758 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, imempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa...
2 Reactions
4 Replies
161 Views
Kama kuna kitu CCM wanajivunia nacho kwa sasa ni kuweza kuwaingiza mamilion ya wajinga wa hii nchi kwenye mfumo wao wa Yanga na Simba. Haya ni mafanikio makubwa kabisa ya Serikali ya CCM ya wakati...
2 Reactions
13 Replies
333 Views
Hii hapa ni Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chadema aliyoisambaza kote Duniani
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Wakili wa kujitegemea Mahinyila ameenguliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Berege, kilichopo kata ya Berege, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma kutakana na kile kilichoelezwa...
1 Reactions
5 Replies
432 Views
Alikuwa kwenye kipindi cha kikaangoni EATV amefunguka mambo kadhaa likiwemo mshahara wake ambao amesema ni milioni 3.4 na gari ya Land Cruiser ya milioni 130. Ajira za walimu kuwa zitatoka baada...
2 Reactions
117 Replies
21K Views
Kama ndiyo hivi jaji ana sababu gani ya kuishi kimasikini, kwanini asile bata popote na hapo hajatumia mshahara wake. Wenyewe tuliwapa kisheria tuwaache wale matunda yao kwa haki. Kwa kifungu...
10 Reactions
145 Replies
18K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, ametangaza rasmi tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa ni kuanzia tarehe 26 Oktoba...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufuta kile alichotanabaisha kuwa kauli ya uongo kuhusu DP World kuanza kukusanya kodi katika Bandari ya Dar es Salaam...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza. Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
25 Reactions
238 Replies
15K Views
Ni ushauri tu Kwa Kadogosa kwa Sababu hivi " Visu" anavyoleta Shabiby kwa Wasafiri wa DAR - Dodoma si mchezo Ni business class ya ukweli kabisa halafu masaa 6 tu kila kitu ndani Kwa sisi...
6 Reactions
25 Replies
779 Views
Habari nilizozipata zinasema Prof. Mwaikusa Mwalimu wa Sheria na Mwanasheria aliyebobea wa Chuo Kikuu cha DSM amefariki dunia baada ya kuvamiwa na watu wanaosemekana kuwa ni majambazi alipokuwa...
0 Reactions
232 Replies
26K Views
Back
Top Bottom