Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza amesema Serikali imekubali mapendekezo ya wabunge ya kuondoa ushuru ya Sh382 kwenye gesi inayotumika katika magari. Amesema hayo leo...
1 Reactions
10 Replies
785 Views
Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo. Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo...
1 Reactions
22 Replies
657 Views
Wakuu Kwema? Kuna hii kauli nimeisikia leo ya "Kila atakaetaka kujiokoa Nafsi yake Atapoteza". Kwa Mujibu wa mtoaji wa kauli ni kuwa imetoka kwenye "Maandiko". Sasa kuna maandiko ya aina...
6 Reactions
119 Replies
13K Views
Watukufu Viongozi wa TAMSYA, Assalam Aleikum. 1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote? 2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini? 3. Dunia...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
DODOMA-Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Aretas...
2 Reactions
4 Replies
352 Views
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA 📍UVCCM TAIFA 16 Septemba,2024 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Ukimya wa Mhe. Rais kisiasa umesaidia sana kufahamu ana maadui wangapi na marafiki wangapi. Ukimya wake umesaidia sana kuona comments za mitandaoni zinavyoweza kutafsiri jamii unayoiongozia...
1 Reactions
8 Replies
715 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelazimika kutoka Ofisini na kufuatilia utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambapo mamlaka hiyo imekuwa ikilalamikiwa na...
3 Reactions
32 Replies
12K Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu? === Pia soma: Dkt. Mpango...
25 Reactions
175 Replies
19K Views
Naam wakuu, Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada...
26 Reactions
521 Replies
87K Views
Chama cha siasa katika siasa za vyama vingi ujipima kukubalika kwake kwa kuruhusu wananchi kupiga kura Kwa hali ilivyo sana nchni ni wazi hakuna tena utaratibu wa kupata viongozi kupitia uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Serikali imesaini kuanza Ujenzi wa Barabara za Mitaa ya Jiji la Dar Zenye urefu wa km 250 Kwa zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2. Pamoja na kwamba Jiji la Dar ndio kitovu Cha Uchumi wa Nchi ila...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari...
19 Reactions
202 Replies
7K Views
UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada...
54 Reactions
545 Replies
31K Views
Kila siku nasema. Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi. Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa...
6 Reactions
66 Replies
1K Views
Hawaaminiki tena, hawaeleweki kabisa kwa wananchi, wamekosa na kupoteza uelekeo, ushawishi wa kisera na mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa. Kanuni, sheria na katiba viko wazi...
1 Reactions
3 Replies
175 Views
Kwanza Karne hii ya Teknolojia Wagombea Kujaza Fomu za Makaratasi kwa kalamu ni Ushamba Pili, kumuengua Mtu Kwa Sababu tu kakosea Kujaza Jina la Chama kwa kirefu ni Ushamba zaidi Tatu...
1 Reactions
3 Replies
209 Views
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha...
2 Reactions
7 Replies
306 Views
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa. Lengo lake lilikuwa ni nini...
3 Reactions
21 Replies
704 Views
Kwa kauli mzee Makamba aliyoitoa tena tena mbele ya mkutano mkuu kuwa watu wazuri hawafi, inafikirisha na kuhuzunisha. Ukitizama umri na busara alizotegemewa kuwa nazo mzee huyu bado tunashindwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom