Wakuu
Huko Goba, wagombea wa CHADEMA wenye kazi rasmi wameenguliwa kwa madai kwamba shughuli zao hazitambuliwi kama kazi rasmi za kiuchumi.
Hii ni tofauti na wagombea wa CCM ambao, licha ya...
Anti-drugs police have arrested a man believed to be the country's most wanted drug kingpin.
Ali Khatibu Haji, popularly known as Shikuba, was arrested at Julius Nyerere International Airport...
Tundu Lissu amesema kitendo cha waziri January Makamba kusingizia kwamba ametumwa na Rais Samia kushusha bei ya mafuta iliyopitishwa na Bunge ni kinyume cha sheria na ni uhaini kwa Rais wa nchi na...
1. Tuwe wakweli, Tamasha la Kizimkazi lilifana haswa. Wasanii kama wote, burudani ndo usiseme. Kwa sasa Kizimkazi Festival ndio Tamasha kubwa Afrika.
2. Hakika Dunia imeona ukarimu wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote...
TAARIFA KWA UMMA
KUAHIRISHWA KWA ZIARA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ILIYOKUWA IFANYIKE NCHINI CUBA
Havana, 07 Novemba, 2024
Wizara ya Mambo ya Nje...
Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Kuongeza majina bbandia
Kuongeza majina ya waliopotea
Kuongeza majina...
Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu...
Kupotea kwa kundi hili ni vema kukawa fundisho kwa Mamluki Wachumia Tumbo, Wanaotutisha na kutukana humu JF, Hii ardhi ya Mungu tunapaswa kuikanyaga Taratibu mno ili tusitumbukie.
Nawakumbuka...
Wagombea wangu wote wameenguliwa.
Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.
SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI
Wakuu wakati joto la uchaguzi likiendelea kushamiri, Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ameendelea kuhoji maswali mazito kuhusiana na jinsi mchakato...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kwa Mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, John Mrema aliyoisambaza Dunia nzima , Kwamba hata wale wawili watatu wa Chadema waliopitishwa kugombea uenyekiti wa Serikali...
Hii ni fact kutokana na uzoefu wa mahali pengi duniani na hata ccm kwenyewe huwa rais anapotumikia muhula wake wa mwisho ni kipindi kigumu sana kiuongozi.
Kuna kuwa na mambo mengi sana...
Wakuu,
Kama mmeona hivi karibuni kumekuwa na mbinu ya kuwaondoa wapinzani kwenye uchaguzi kwa vigezo tofauti tofauti ikiwemo kuweka taarifa zisizo sahihi kwenye fomu za kugombea.
Huyu ni mgombea...
Wenzetu wanagombea kwa uzalendo na kuleta maendeleo. Tanzania watu wanagombea kulinda malizao na kujitajirisha. Tusishangae Raisi mzima ana unga mkono wizi wa mwenyekiti wa kijiji kwenye nchi...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Same limetangaza kusitisha mikutano ya hadhara ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ambayo ilitarajiwa kuanza Novemba 13, 2024.
Hatua hii inakuja...
Wakuu,
Hivi karibuni nimeona video moja ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako, Hanana Mfikwa akizungumzia kutumia viongozi wa dini kuwahamasisha wananchi kwenda kupiga kura.
Mfikwa...
Salaam Wakuu,
Hadi sasa hivi vyama vyama zaidi ya 10 vya Upinzani venye nia ya kuiondoa CCM madarakani, vipo kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Je, vimefueahhishwa na mchakayo wa Uchaguzi...
Wakuu,
Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho.
=====
Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la...
Pamoja na mambo mengine yote siasa ni majadiliano, au mgogoro wa hoja baina ya watu, vyama katika kutafuta kutwa madaraka au mamlaka.
Mtazamo wa mwanafilosofia aitwae Aristotle kuhusu siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.