Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii ndio Taarifa Mpya kutoka Mwananchi --- Ramadhan Iddi Shaaban anayedaiwa kutekwa na kuuawa kikatili enzi za uhai wake Familia ya Ramadhan anayedaiwa kutekwa, kuuawa kikatili yamlilia Rais...
9 Reactions
159 Replies
8K Views
Tumekua tukishuhudia utekaji wa watu nchini vikifanywa na eti wasiojulikana! Hawa wasiojulikana ni watanzania ambao huenda wamejiambatanisha na vyama vya siasa, hata hivyo ni CCM tu ndiyo ina...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Sema tu Waziri Wetu wa Mawasiliano wakati ule hakuwa na maono ya mbali Nadhani Jerry Silaa atakwenda na Nyakati za sasa Bila kuwa na kigugumizi Ahsanteni Sana 😃
0 Reactions
3 Replies
147 Views
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
12 Reactions
129 Replies
15K Views
Mratibu wa Kitaifa wa THRDC, Wakili Onesmo Olengurumwa ameyasema haya katika ukurasa wake wa mtandao wa X "Wagombea wote warudishwe kama makosa ni makosa madogo madogo, lakini ninauliza swali kwa...
0 Reactions
2 Replies
260 Views
Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible! Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea...
4 Reactions
34 Replies
880 Views
Simlaumu sana mwalimu ila nahisi njia ambayo iliitumia kuwaongoza rais wake ndiyo imeleta haya aisee ujamaa unamfanya mtu awe muoga na na kutengeneza kizazi za watu wanafiki wanafiki tu hii nchi...
1 Reactions
10 Replies
308 Views
Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Freeman Mbowe siyo Malaika ni binadamu na anakosea kama wengine PLC ya Mbowe iko stage ya mwisho ie declining Labda niwakumbushe 1. Mbowe peke yake alibadili Gia angani na kumtosa Dr Slaa huku...
2 Reactions
3 Replies
253 Views
Maoni haya yachukuliwe na Serikali kwa Ajili ya kufanyia.maamuzi ya kisera. Binafsi naunga mkono hoja Kilimo Cha Bangi Kibiashara na Kwa masharti Kwa Baadhi ya maeneo ya Nchi na nimewahi shusha...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Wakuu, Mchengerwa alitekeleza agizo la chama bana, kupuuzia haya mambo madogo madogo maana demokrasia yetu ni changa:BearLaugh: :BearLaugh: Kupata habari za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
2 Reactions
9 Replies
836 Views
Vijana wa sasa wamekuwa waoga sana wa kudai haki zao tofauti na kizazi kile cha wapigania uhuru kama kina Nyerere, Obote Kenyatta Kamuzu Banda, Mugabe nk.walitetea haki kwa nguvu zao zote waziwazi...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Je, nchi yetu bado ni nchi ya amani? Sio watu wameamua kuwa watulivu na ideology ya CCM kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani ndo inatawala? Nini hatma ya Tanzania endapo wananchi watachoka...
0 Reactions
96 Replies
12K Views
Mijini na vijijini manung'uniko yametawala! Watumishi wa umma wanaonekana wana furaha lakini mioyoni wanaugulia maumivu! Hata tabasamu za wengine zinaweza zikawa na tafsiri tofauti. Labda ni...
5 Reactions
28 Replies
521 Views
zimekuwepo kauli za mazoea kwa nchi ya watu wenye kuwaza zaidi ya kufikiria na kuridhika kuwa wamefikia hatua ya juu ya kufikiria sawasawa. nchi hii ni TANZANIA. utawasikia viongozi pamoja na raia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa masuala ya kisiasa hapa nchini. Nimeona zoezi la maandalizi ya uchaguzi wa viongozi Serikali za mitaa lilivyoanza na linavyoendelea. Pia nimesikiliza matamko ya...
1 Reactions
6 Replies
258 Views
Inawezekana kabisa nia ya 4RS ipo dhahiri kupitia CCM Lakini ni vyema vyama vyote kuzingatia taratibu tulizojiwekea katika uchaguzi. Inashangaza mgombea umeelezwa wazi kuwa iwapo hujatendewa haki...
1 Reactions
9 Replies
406 Views
Ikitokea Mungu katuongoza na kufika salama 2025 na ikatokea Rais Samia akatangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM nitamchagua bila kupepesa macho, kwa sababu: i) Anajiamini. Licha ya kuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi. Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini...
2 Reactions
35 Replies
894 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania badala ya kulilaumu Jeshi la Polisi kuhusika na matukio ya utekaji na mauaji, ni vema wakajiuliza kwanini matukio hayo yanatokea kila inapokaribia...
4 Reactions
107 Replies
4K Views
Back
Top Bottom