Chama cha ACTwazalendo kimetoa wito kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, kusimamia maelekezo yake kuhusu rufani za wagombea ili...
Wakuu
Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia
Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa...
Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police...
Kwanza kabisa Video hii tukiiangalia kwa jicho la uchambuzi na kiudadisi kuna vitu vinatia wasiwasi, pengine tukio hilo limetengenezwa kimkakati kwa ajili ya masrahi ya watu flani.
Aina mtu...
Wakuu,
Kwahiyo wale walioenguliwa kwa kigezo hiki wanakuwa ndio wamerudi kwenye kinyang'anyiro au ndio wameondolewa hivyo hivyo kwa uonevu?
====
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...
Kwa mujibu wa takwimu za Bodi ya takwimu ya Uganda,Tanzania imetajwa kuwa Nchi iliyoongoza Kwa Uwekezaji Nchini Uganda ambapo zaidi ya asilimia 80% ya wawekezaji wa Kigeni walitoka Tanzania.Soma...
Wakuu,
Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Godbless Lema amesema kuwa haamini kama ACT Wazalendo wana uwezo wa kufikisha au kusimamisha wagombea zaidi ya 2000 nchini.
Soma pia: Lema wa...
Wakuu,
Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani.
Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Hivi...
Tanzania ni nchi ya amani! Haiwezi kuwa na matukio ya utekaji!
Neno la "mkubwa" ni kama "Sheria". Imeshatamkwa kwamba kinachoitwa utekaji nchini ni "vijidrama" tu.
Ndiyo maana Sativa...
Wakuu,
Inashangaza pale unakuta kichwa cha habari kutoka online TV kinakuwa kama kaandika Lucas Mwashambwa, nilikutana nayo juzi wakati nataka nichukue risiti wakawa wamefuta bana. Kwa jinsi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania...
Wakuu,
Hivi mna uhakika hawa viongozi wanaoteuliwa na Rais huwa wanafanyiwa vetting kweli kabla ya kupewa vyeo?
Wakati nazunguka leo mtandaoni nimekutana na clip ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani...
Utekaji unaweza fanyika katika nyanja mbili, Moja igizo { Drama } au utekaji halisi
Tanzania tumeshindwa Kutofautisha tukio halisi naa Igizo { Drama } hatujui kabisa maana ya Utekaji { Kidnaping...
Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian Batilda Burian amewataka viongozi wote ambao wana nafasi za kusimamia michakato ya uchaguzi,kusimamia agizo la kutumia 4R za Rais Samia katika kufanya...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya...
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
ENEO LA UCHAGUZI
IDADI
CCM
UPINZANI WOTE
CCM PEKEE
MITAA
4,265
4,265
3,256
1,009
VIJIJI
12,274
12,274
5,879
6,395
VITONGOJI
63,863
63,863
20,000
43,863...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.