Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo...
Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi?
Katika jukwaa ili kuna...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara, Tundu Lissu, ameweka wazi aina ya watu wanaostahili kuwa viongozi ndani ya chama chao.
Akizungumza leo Novemba 13, 2024 mkoani Singida wakati akifungua...
Waziri mkuu na Makamu wa Rais mstaafu ambaye pia Makamu Mwenyekiti wa CCM mstaafu Mzee Malecela amemtembelea Mbobezi wa Kyoto Prof Mwandyosa nyumbani kwake Matema Beach Mbeya
Prof Mwandyosa...
Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo?
Au katengwa
Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee
Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni...
Wakuu,
Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu?
Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia...
Aristotle, the great philosopher, alisema unaweza kuainisha serikali zote duniani katika haya makundi sita. Mimi binafsi naona nchi yangu ipo kwenye Oligarchy.
Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Leo tarehe 15/11/2024 jamii ya wapemba imetambulika rasmi Kama raia na wamepewa vitambulisho vya Taifa la Kenya. Hivyo wapemba wote wanaoishi kwenye Kaunti ya Kwale, Lamu, Kilifi na Mombasa...
My Dear Brother,
Dont do it, just dont..
Hawa marafiki na wapambe ulio nao kwa sasa ni watu fake sana, having listened to their speech, rhetorical statements and sentiments.... They cant take...
Ndugu zangu hii nchi yetu haitakiwi iwe hivi ilivyo sasa. Kuna Watanzania wengi wajanja na wabunifu na Mungu katupa mengi.
Sasa inashangaza kama wananchi tunakubali tu mambo ya ajabu ajabu...
Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki...
Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu...
Katika ulimwengu wa siasa, tunazoea kusikia kuhusu demokrasia kama mfumo mkuu wa uongozi. Lakini je, umewahi kusikia kuhusu demarchy? Huu ni mfumo wa kisiasa usiohusisha uchaguzi wa moja kwa moja...
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje...
Wana Jf habari za kwenu.
Tulihimizwa sana tujiandikishe na elimu ikatolewa kwa wingi sana. Tulielewa tulioelewa tukajiandikisha
Sasa tunahimizwa tukashiriki uchaguzi tukawachague viongozi...
JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu..
Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu...
Nakumbuka mwaka jana au juzi Star link walitaka kuja kuwekeza Tanzania. Nape na watendaji wake wa TCRA, Star link walipigwa danadana hadi hawajawekeza bongo.
Sababu zilizotolewa na Nape na...
Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa...
Kwanza tukumbushane kuwa Hizi ni Zama za Trump ambapo Yatima Hadeki
Hivyo basi Chama langu Pendwa CCM achaneni kabisa na Machawa
Tengeneza akina Mafuru ( Wachapa Kazi Bila kutaka Kujulikana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.