Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naomba nishauri ya kwamba vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana na sio kwenye mambo ya kijinga. Kwa muda mrefu vyombo vya Dola vimewekeza akili na vifaa kwenye kupambana na vyama...
6 Reactions
13 Replies
562 Views
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana! Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana! Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana! (The Art...
22 Reactions
210 Replies
7K Views
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma...
1 Reactions
1 Replies
173 Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, ACP Amon Kakwale, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuimarisha mshikamano wa Watanzania badala ya kuleta mgawanyiko...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vyama vya Upinzani vimeshindwa kusimamisha 62% ya Wagombea kama nafasi zilivyotangazwa Hii ni aibu kubwa sana Ndani ya miaka hii 32 ya Vyama vingi vya Siasa...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imeanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kwa kutumia michezo...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wakati wa wananchi kujiandaa...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Wanawake mara nyingi wanashikilia nafasi muhimu katika familia na jamii, hasa katika nchi zinazoendelea, ambako wanahusika na majukumu ya kutafuta chakula, maji, na nishati (kuni) Majukumu haya...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka. Ni...
2 Reactions
18 Replies
636 Views
Viongozi wa Dini mkoani Manyara wametoa wito kwa vyama na wagombea wa vyama vya siasa kutumia lugha za kistaarabu wakati wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza Novemba 20 mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Friends, ladies and gentlemen. Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii...
3 Reactions
36 Replies
929 Views
Wakuu Kumeanza kuchangamka huko Arusha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa...
9 Reactions
118 Replies
3K Views
Nimefuatilia matangazo ya vyombo vyetu vya habari, naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba vyombo vyetu vimeambatana na Waziri Mkuu kisha vikaambatana na RC kadri anavyofika eneo la tukio...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuna Raia wajinga sana Taifa hili, kutwa nzima utasikia ohoo Mbowe kanunuliwa, Mara Chadema haina mvuto tena mara sijui Lisu ikapanda ikashuka. Je Upinzani sio Ideology kwa Tanzania ila ni...
10 Reactions
29 Replies
751 Views
Anonymous (b7e3)
Mtendaji wa kata ya kiwira ambaye ni kada mtiifu wa CCM anahujumu uchaguzi pamoja na mtendaji wa kijiji cha Mpandapanda wamewaengua wagombea wote wa CHADEMA kijiji cha Mpandapanda au Kiwira Mjini...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa...
1 Reactions
30 Replies
690 Views
Mchungaji Msigwa amewaasa Vijana aliowaacha Chadema wawahi sasa kuhamia CCM Msigwa amesema ni hatari sana kung'ang'ania kukaa Kwenye meli inayozama tena nahodha akiwa Msanii Ukurasani kwake X
7 Reactions
22 Replies
850 Views
RAIS SAMIA AWEKWE KWENYE FEDHA, TUACHE WIVU NA CHUKI. Na; Suphian Juma Nkuwi Nilishalisema sana hili humu mtandaoni tangu Mhe. Rais Dkt Samia akiwa na miaka miwili ya Utumishi wake Ikulu. Na...
9 Reactions
167 Replies
6K Views
Back
Top Bottom