Kuna kasumba moja ya wanasiasa hasa upinzani na wanaharakati wamekua wanaikosoa serikali, au mifumo mibaya ya uongozi, ubovu wa katiba ya sasa kupitia mitandao ya kijamii na makongamano ya wao kwa...
Kama hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa hazima baraka za Kiongozi wa Nchi, nashauri yeye mwenyewe awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize...
Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.
Ilikuwa bahati mbaya au ni...
Serikali hizi zetu za kulakula bila kujali wananchi.
Ukijiuliza ni kwanini wanasiasa tu machawa ndiyo wana nunuliwa magari ya milioni 300 na mia nne kwa kazi za kufuta wagombea wa vijiji wakati...
Mbona naona kama wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo kwa kasi kwenye nchi zetu,
Walikuwa wanajenga reli, shule na vituo vya afya.
Walikuwa wanajenga viwanda muhimu vya uchakataji.
Walikuwa...
Shehe Ponda ameweka nukuu inayosema; Ukitaka kuangamiza taifa lolote Duniani usitumie Mabomu wala Nyuklia bali Ua Mfumo Wao wa Elimu Ili wawape nafasi mbumbumbu nao watajiona wamefanikiwa
Ndipo...
Kufuru inawezekana kabisa Mungu sometimes huwa anazijibu mapema. msikilize huyu mama wa CCM huko zanzibar akimkufuru Mungu wa Mbinguni. Amekufa lini?
=====
Zawadi saleh Makame alitoa kauli...
Sijajua mjukuu wa baba wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume ana ugomvi gani na Rais wa IPU mh Dr Tulia Ackson Mwansasu PhD
Maana anamshushia shutuma mbalimbali kule Ukurasani X
Inawezekana Kweli...
Hongera sana mh. RC wa Arusha, Paul Christian Makonda.
Binafsi nakukubali sana hasa kwa mambo makuu 5 ambayo ni:-
I. Ubunifu
II. Usimamizi
III. Ufuatiliaji
IV. Ujasiri
V. Kutokukubali...
https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na...
Sehemu kubwa ya watanzania ni waoga sana kwenye kupambana hadharani na CCM.
Lakini watanzania hao hao ni mafundi wabobevu kwenye kuilaumu CHADEMA.
Na watanzania wengi sana ni rahisi na wanaona...
Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria.
Sasa yametufika. Kwanza, nani...
Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake...
Rais Dkt. Samia akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya...
Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi:
1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji
2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya...
Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena.
Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza...
https://www.youtube.com/live/vyP3aX84nHw?si=XkBNYCZhDqiFYwCB
PICHA NA MATUKIO YA UZINDUZI WA ILANI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI
Huu ni Ukumbi wa Hakainde Hichilema; upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.