Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya...
1 Reactions
6 Replies
559 Views
18 November 2024 Arusha, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=1m8dUy8nupk Wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali wafanyakazi wa wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa wakidai...
1 Reactions
4 Replies
684 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo jijini Dar...
0 Reactions
2 Replies
341 Views
RC Chalamila amesema Siyo kwamba zoezi la uokozi linaenda Polepole bali ni Mbinu za uokozi wanazotumia Tunatumia Akili kubwa na Ubobezi wa kitaaluma kuhakikisha Wote wanatoka salama amesema...
4 Reactions
13 Replies
558 Views
Hili suala la matumizi ya hizi pesa lingekua limetokea nchini Afrika Kusini sijui mzee Zuma angekua katika hali gani. Kwa majibu ya Ofisi ya waziri mkuu sijui hali ingekuaje! Kwakweli...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwakua mmekubali kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kujiingiza kwenye mtego wa kuhalalisha haramu ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu. Nendeni mahakani...
7 Reactions
35 Replies
888 Views
Aliekuwa DC.wa wilaya ya Longido miezi kadhaa iliyopita, aliweka wazi kuhusu hujuma zinazofanywa kwenye chaguzi zetu na alilenga kilichotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019. Japo...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi...
4 Reactions
7 Replies
250 Views
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi...
42 Reactions
177 Replies
6K Views
Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu. Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya...
1 Reactions
5 Replies
328 Views
Katika mahojiano yaliyofanyika mkoani Arusha ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Makonda alisema alimuambia kama utani Tundu Lissu asimshambulie Mwigulu Nchemba kwa sababu ni Waziri anayetoka...
0 Reactions
8 Replies
467 Views
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha, ambao walidaiwa kuzua vurugu wakati wa uchaguzi ndani ya chama, wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kwamba taarifa zilizotolewa...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Kwa sisi tulioshiriki siasa za Chama kimoja tunakumbuka namna Jumuiya za Chama zilivyokihenyesha Chama nyakati tofauti tofauti Naweza kusema nyakati zile Viongozi wa CCM walikuwa na wakati mgumu...
1 Reactions
13 Replies
280 Views
Ni kuchanganyikiwaaa au vipi Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye Watanzania kwa...
2 Reactions
1 Replies
460 Views
Mkurugenzi wa Chadema Mh John Mrema amesema Chama chake kikifanikiwa Kupata Ushindi wa Kitongoji hata kimoja tu utakuwa ni Ushindi wa kishindo wa 100% Mrema amesema 2019 Chadema haikushinda...
1 Reactions
13 Replies
403 Views
Wakuu, Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza? Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Wakuu, Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya...
18 Reactions
142 Replies
6K Views
Wakuu, Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa...
0 Reactions
5 Replies
356 Views
Wakuu, Mambo hayo, kwani matokeo si huwa yanajionesha tu? Kitu kikijitembeza ndio unatuambia hamna kitu hapo, ni garasa. ==== Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala leo Novemba 18,2024...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Soma pia : Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri Video: Habari mpya
1 Reactions
15 Replies
681 Views
Back
Top Bottom