Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Mambo yanaanza kuchangamsha, bumunda karudi na makeke yake mzee ropo ropo! ===== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
1 Reactions
8 Replies
535 Views
UFUNGUZI WA SIKU 7 ZA KUBEBA KILA KITU 📍20 Novemba, 2024 Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha...
2 Reactions
12 Replies
564 Views
Wanabodi, Usingizi ukikata, huwa nashuka jf anytime, leo nauliza Mke au Mume ukiachika, au ukaachwa, kisha ukapata bwana mpya, au chombo kipya, je ni sawa kumzungumzia bwana wako wa zamani kila...
16 Reactions
46 Replies
1K Views
Wanabodi, Salaam. Ijumaa ya leo, nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Leo nazungumzia mada ya ukosefu wa fadhila, au ukosefu wa shukrani katika medani za...
49 Reactions
112 Replies
17K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu ataongoza Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Bunda Mjini. Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kila mahali hii hapa...
2 Reactions
16 Replies
574 Views
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi...
5 Reactions
66 Replies
1K Views
Nawaamkua nyote Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi...
27 Reactions
238 Replies
6K Views
Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika...
0 Reactions
2 Replies
205 Views
Wakuu sio kwa ubaya najiuliza huwa nakosa jibu kwanini kila janga likitokea waziri mkuu hutafuta mahali pa kuangushia jumba bovu au ili yeye asiguswe na lawama?. Majanga yanayotokea na uzembe...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo kipindi kinaongozwa na mwanamama. Jina lake sijalinasa. Yupo katibu wa tamisemi ndugu Ndunguru, yupo mtu wa TAKUKURU na naibu msajili Mada inahusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Waliokuwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti na wajumbe kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Ungalimited jijini Arusha wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Wakuu, Tunaendelea kwenye episode nyingine ya rushwa ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakiipigia kelele. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeiagiza Serikali ya Wilaya ya Pangani...
1 Reactions
3 Replies
180 Views
“Juzi tumekuwa na janga pale Kariakoo, nchi imesimama kwa sababu ya janga la pale Kariakoo. Wote tumeguswa kwa ajili ya watu ambao tumetangaziwa 13 wamefariki, wale watu wamekufa wakati wanatafuta...
21 Reactions
115 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Kwahiyo lengo la serikali ilikuwa kumsumbua tu na kumhenyesha basi! Job true true! Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa...
1 Reactions
7 Replies
455 Views
LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM. MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM Chama Cha Mapinduzi...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini. Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom