Wakuu,
Twende kwenye kampeni ili mchague viongozi wanaostahili.
=====
Wakati vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini vikiendelea na kampeni zao, wananchi wilayani Makete mkoani Njombe...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa...
Wakuu,
Inaonekana baada ya kumaliza kutishia wapinzani, wameanza kutishiana na kusimangana wenyewe ndani ya chama
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka...
Kauli za Msiogope Mabomu au Tutakwenda nao Kiulalo Ulalo ni kama vile zinaashiria Shari na huo siyo Utamaduni wetu
Tufanye Siasa za kistaarabu zilizosheni Upendo kwa sababu Siasa Siyo Uadui...
Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye...
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mwanza (TAKUKURU) imewaonya wagombea na wananchi kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za mtaa, kuacha kutoa, rushwa, kuelekea katika uchaguzi huo...
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1984, Tanzania ilikuwa na salio la 0 (SIFURI) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).
Ni lini mkopo wa IMF ulilipwa kikamilifu na asilimia 100? Mkopo ulikuwa sifuri...
Wakuu,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Nyamongo na...
Habari, imekuwa tatizo, kero, usumbufu kwa wakulima wa mahindi nchini linapokuja suala la kuuza mahindi kwa wakala wa chakula NRFA kulipa fedha kwa wakati.
Waziri wa kilimo katika ziara ya Mh...
Wakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa...
Wakuu,
Mnakumbuka zile kamata kamata za wapinzani na wafanyabiashara? It seems kama ACT Wazalendo wamekuja na muarubaini wa tatizo hilo
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe...
Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia...
Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo...
Mchungaji Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA na kujiunga CCM Juni 30, 2024 amewataka wananchi wawachague wagombea wa CCM kwasababu vyama...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao...
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko ametangaza kuahirishwa uchaguzi kwa nafasi ya wajumbe mchanganyiko katika mtaa wa Mwangaza jijini humo kwa mujibu wa...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa...
Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.