Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Pamoja na wagombea wa serikali za mitaa wa vyama vya upinzani kukatwa kwa vigezo mbalimbali vyama hivyo vimeamua kuendelea na kampeni siyo ya uchaguzi wa serikali ya mtaa bali kupima kama...
13 Reactions
14 Replies
560 Views
Mara baada ya kuahirishwa kikao cha Bunge jana jioni, Waziri Mkuu aliitisha kikao cha Mawaziri na Manaibu wao akidai ni kikao cha KIKAZI. Katika kikao hicho aliwaambia kwamba serikali ilikua na...
3 Reactions
1K Replies
164K Views
Jeshi la Polisi wamemkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe Ezekia Zambi kwa sababu ambazo bado hazijafahamika. ACT Wazalendo Vwawa iliruhusu Chadema kutumia ratiba yake kufanya...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Sheikh Baraghash bin Said,GCMG,GCTE (1837- March 26, 1888)alikuwa mfalme wa pili wa Dola ya Zanzibar kuanzia Oktoba 7,1870 mpaka March 26,1888 Baraghash atakumbukwa kuwa kiongozi mahiri...
8 Reactions
152 Replies
23K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ataongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kawaida wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje (RIMC) wa...
0 Reactions
3 Replies
255 Views
Wakuu, Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM...
0 Reactions
5 Replies
455 Views
Kuna jambo linaendelea kwenye Kampeni za Serikali za mitaa zinazofanywa na chama kinachoitwa chama Cha mapinduzi (CCM). Jinsi wanavyoongea kwenye Kampeni hizo, ni kama vile hao watu wa CCM wamo...
16 Reactions
32 Replies
1K Views
..ACT wametoa kauli ambazo zimetolewa na Mtanganyika lazima angeshtakiwa. ..ktk hotuba yao wanamfananisha Dr.Mwinyi na mzigo uliovunda uliopelekwa Zanzibar na Dr.Magufuli. ..Na wanasema 2025...
3 Reactions
16 Replies
972 Views
Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika. Project zilianza pale wana elite ndani...
12 Reactions
75 Replies
5K Views
Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Mimi ni mpiga kura huru. Kama wewe una chama sikudharau wala kukuona huna maana. Kila mtu na kile anachokiamini. Usinidharau pia. Ni dunia huru hii na kila mmoja anapaswa kufanya anachojisikia...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, ameibua hoja muhimu kuhusu changamoto za maendeleo vijijini wakati wa kampeni za kuwanadi wagombea wa chama hicho katika...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya...
6 Reactions
57 Replies
1K Views
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao...
0 Reactions
4 Replies
257 Views
CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Wakuu, Hivi Lema huwa anafanya screening ya speech zake kable hajaenda kuongea on stage? Akizungumza kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa siku ya leo, Lema ametumia maneno magumu mno...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto huko, patashika nguo kuchanika ikiwa ni siku ya pili ya kampenzi za uchaguzi serikali za mitaa. ===== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela Deus Sangu ametoa wito kwa wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais, Dkt. Samia...
3 Reactions
5 Replies
268 Views
Wagombea nafasi ya Uenyekiti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Chama cha National League of Democracy (NLD) wamebainisha kuwa zipo kero ambazo watakwenda kuzifanyia kazi kwa maslahi ya...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Back
Top Bottom