Kwa wale ambao ni wanachama, mashabiki na wapenzi wa CCM ambao sio viongozi katika chama au serikali mnananufaikaje kwa sasa na uwepo wa CCM na mnafikiri mtapoteza nini siku ambayo CCM haitakuwepo...
Katika Mikutano ya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Chadema wanadai Rais anawahonga Maaskofu
Chadema wanasema kuna Askofu kahongwa tsh 150 million na baada ya muda akaanza kumsifia Rais...
Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake.
Utata usiomithirika...
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi...
Leo Rais Samia ametumbua aliyekuwa Boss wa TISS (Usalama wa Taifa), Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na kumeteua Boss Mpya Balozi Ali Idi Siwa
Wanajamavi, watu wenye...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM...
Mgombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa ndugu Mfaume Zuberi amesema Katika Uongozi wake atasisitiza Wananchi kuzishika Amri 10 za Mungu tena Wapigie mistari Amri ya 4 hadi 8
Zuberi...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA taifa John Pambalu akiwa mkoani mwanza wakati wa kufanya kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake kuelekea uchaguzi serikali za mitaa amesema vijana wamesoma...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo ameweza kusafiri kwa usafiri wa treni ya kisasa kabisa...
Usisahau pia kwamba alilala Polisi baada ya Mamluki RPC wa Songwe kutumikishwa na CCM kwa lengo la kudhoofisha Kampeni za Chadema
Sasa angalia Hapa Mbeya Mjini, Baada ya Mikutano mingine 8...
Kama kuna Mtanzania asiyeamini uwepo wa Mungu , na hasa kwa Wananchi ambao wameshuhudia mambo mengi sana ndani ya nchi hii kwenye Utawala wa Kikatili wa awamu ya Tano , Basi bila shaka Mtanzania...
Kila mtu anaweza kuwa na mema yake au mazuri yake lakini kwa kumbukumbu ya kifo mpaka anakuja kukata roho mwendazake alipitia mateso makubwa sana.
Mimi kinachoniumiza zaidi ni unafiki, na...
Kesho Samia yuko kwa wataalamu wa serikali za mitaa, Mzumbe. Tena kaenda hapo kipindi cha uchaguzi wa mitaa.
Kwa nini kijiji kiwe shida kama ni mchakato wa ugatuaji? Hakuna new thinking ili...
Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa.
Thinking aloud...
Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi.
Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu...
Jana ilifanyika dua ya kumuombea mfanyabiashara hayati Yusuph Manji katika viwanja vya Karimjee na mmoja wapo ya watu mashuhuri waliokuwepo ni Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne.
Katika...
Hiki chuo kama kinachukuliwa poa, sawa na Mzumbe "ilipoondolewa" Katika majukumu yake ya serikali za mitaa. Kwanza, nashauri chuo cha mipango kifanyiwe study, hakuna maendeleo bila mipango.
Tume...
Wakuu,
CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli?
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.