Moja ya mgombea Kyela Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHEDEMA amemuomba mtoto wake amsaidie kuomba kura kwa wananchi wakati wa kampeni.
NYUMBA KWA NYUMBA MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AKIHAMASISHA NA KUOMBA KURA ZA NDIYO KWA WAGOMBE WOTE WA CCM.
Tunaendelea kuhamasisha Wananchi na Wanachama wote wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha...
MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE.
Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani...
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa...
Wananchi Mjini Babati mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza Novemba 27 mwaka huu kupiga kura ili kuwa kuchaguavViongozi waadilifu watakao waongoza katika kuleta maendeleo, huku wakitakiwa...
Wanabodi,
Hivi CCM wanaposema wameleta maendeleo huwa wanaamanisha nini? Huyu mgombea wa CHADEMA kaonesha kabisa kuwa kuna ubovu mkubwawa barabara huko eneo la Mashujaa mjini Mbeya.
Hawa CCM...
Kila mtu anajua kinachoendelea hapa nchini ikiwa ni jitihada za Serikali na CCM kuhakikisha Chadema hawafanikiwi.
Jana ktk Mkutano wa Nyamongo Tarime Uwanja wa Umma umefungwa na kulindwa na...
"Mimi ninasema mnadharau kwasababu mmekata tamaa, mnahisi mambo ni yaleyale...aah! ndiyo hivyo bana, CCM watachukua kwa nguvu; hawezi kuchukua kwa nguvu, wakichukua kwa nguvu maana yake...
Wakili Fatma Karume ameweka wazi mtazamo wake kuhusu kitendo cha baadhi ya Wabunge kugalagala chini kwenye vumbi kumshukuru Rais kwa kupeleka fedha katika maeneo yao. Akizungumza katika mahojiano...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna mwanadamu mmoja na Raia mmoja ambaye kwa sasa ndiye anayependwa , kukubalika,kuungwa mkono na mwenye ushawishi wa hali ya juu sana hapa Nchini.Ndiye Binadamu ambaye...
Siasa zinaendesha maisha yetu
Siasa inagusa maisha yetu
Wanaotekwa Wana ndugu zetu tunaoishi nao mtaani na wengine ni marafiki zetu
Viongozi wa dini hatuwezi kujitenge na siasa maana siasa...
Kumezuka tabia inayokita mizizi ya Viongozi wa dini kuwa Wasemaji wa Vyama vya siasa hasa vya Upinzani Kwa kutumia majukwaa ya kidini.
Jambo hili sio sawa kwani ni sawa na madhegebu hayo kuacha...
Serikali ya Rais Samia imeendelea kuwajali Watumishi wa Umma baada ya kuwalipa wastaafu waliokuwa wameathiriwa na utekelezaji wa sheria Mpya Kikokotoo Fedha zao zote za mapunjo.
Hayo yameelewa na...
Jana nimerudia mara 3 kusikiliza clip ya CDF mstaafu akielezea changamoto alizokutana nazo Katika saa za Mwisho za Uhai wa Shujaa Magufuli
Moja ya changamoto ilikuwa takwa la baadhi ya Wajumbe...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza jijini Dar es salaam kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mnamo mwezi Novemba 27, 2024 amesema hali ya usalama mkoa wa Dar es salaam...
25 November 2024
Kyela, Mbeya
Tanzania
CCM wamsubiri mchg. Peter Msigwa, aokoe jahazi kongwe la CCM TAMISEMI 2024
Chama dola kongwe wapiga kambi wakimsubiri Msigwa kuokoa jahazi kanda ya nyanda...
Bado siku moja kutoka sasa kuelekea katika siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.
Wagombea kutoka vyama mbalimbali wamendelea kunadi sera zao na Ilani ya chama...
Wakuu,
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.