Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
0 Reactions
4 Replies
629 Views
Wanabodi, Vita dhidi ya janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19, Mapambano yanaendelea, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho asubuhi...
9 Reactions
194 Replies
20K Views
Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Wakuu wakati zoezi la kupiga kura linaendelea katika maeneo mengi nchini. Baadhi ya maeneo wapiga kura wamendelea kutoa changamoto wanazokutana nazo. Sasa Katika zoezi la kupiga kura kwa viongozi...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Wanabodi, Leo katika kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, nimezungumza kidogo na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile kuhusu local transmission ya virusi vya Corona, na umuhimu wa...
19 Reactions
89 Replies
10K Views
Wakuu, Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam wamelalamikia kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa jambo linalopekea wao...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la...
15 Reactions
432 Replies
48K Views
Chadema Kwa Sasa mtakuja na ajenda gani maana zile kelele za sukari na mgao wa umeme vimepotea ghafla 🤪🤪 https://www.instagram.com/reel/C4ODa8RtTt9/?igsh=MXFlNmkwZzA3ZGJ2dw== ---- Wakati makali...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Wakuu, Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha. Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh...
2 Reactions
0 Replies
124 Views
Wanabodi, Mbunge wa jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ametangaza rasmi kuwa hatagombea ubunge mwaka 2025. Ndugulile amedokeza kuwa kwa sasa yupo mbioni kuanza majukumu yake kama Director wa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Nilitegemea kujiandikisha 1. Online (kwa mtandao) na 2. Kwenda kwenye vituo vya kujiandikisha. Sasa hadi wakati huu wa kupiga kura bado mtu analazimika kwenda mahali alipojiandikisha...
1 Reactions
1 Replies
97 Views
Wakuu, Sarakasi za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaendelea huko Mbeya mambo yameanza kuchanganya! Zoezi la upigaji kura katika kata ya Ubaruku limesitishwa kwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi...
1 Reactions
4 Replies
310 Views
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili. Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM...
26 Reactions
75 Replies
3K Views
Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA taifa Patrick Ole Sosopi Patrick ole Sosopi akielezea uovu waliokutana nao wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kata ya Idodi...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi? Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu. Britanicca.
92 Reactions
1K Replies
167K Views
Vyombo vya habari vitaelekeza macho Leo Ikungi Kwa Mhe. Tundu Lissu. Na iwapo ikitokea CHADEMA wakashinda vijiji vingi kulinganisha na CCM hii inaweza kuzima kabisa mtanzamo wa jumla na kuonekana...
2 Reactions
3 Replies
278 Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, wamehitimisha kampeni za wagombea nafasi za uongozi...
0 Reactions
9 Replies
367 Views
Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka vijana wa Mwandiga, mkoani Kigoma kuhakikisha wanapiga doria katika eneo lao siku ya uchaguzi ili kuzuia mtu yeyote asiyekuwa...
1 Reactions
2 Replies
236 Views
Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar...
6 Reactions
3 Replies
379 Views
1. Lesotho ni nchi inayozungukwa na Afrika Kusini kila upande. 2. Leo tarehe 4 Oktoba 2024 inatimiza miaka 200 toka kuundwa kwake na Mfalme Moshoeshoe I. Tunashukuru Kwa kutuwakilisha...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom