Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
"Niseme Tu kwamba uchaguzi wowote si uchaguzi mwepesi lakini Sisi kama wanasiasa mara nyingi tunafanya tathimini zako unaangalia endapo utagombea mapokeo ya wananchi yatakuwaje? Mwaka 2020...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Manzese Mtaa wa Kilimani, Manispaa ya Ubungo Dar Es Salaam. Kupata...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Hellow people!! Hope mko salama sana na mnaendelea vizuri huko mlipo! Leo ni siku ya uchaguzi, na nimebahatika kushiriki!! Kwa ufupi sana naomba nitoe my observations: 👉Hakukua na uchaguzi bali...
0 Reactions
2 Replies
221 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepiga kura katika kituo cha shule ya msingi Dodoma Mlimani iliyopo Mtaa wa Salmini kata ya Tambukareli. Baada ya kupiga kura amezungumza na...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili. CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa...
3 Reactions
16 Replies
632 Views
Kura hizi ni mtindo wetu wa demokrasia, utamaduni wetu wa kisiasa…wasivunje amani yetu wakapige kura kwa maelewano na masanduku yanavyosema ndio hivyo matokeo yatoke..” Rais wa Tanzania – Dkt...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara kufunga maduka yao, kupisha upigaji kura...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino...
1 Reactions
8 Replies
543 Views
Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo...
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Peter Serukamba ameshiriki zoezi la kupiga kura Kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa Leo Nov 27 2024. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Wakuu, Ndio upigaji unaandaliwa? Baadhi ya mitaa katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara, wamelalamikia kutokuonekana na kusomeka vyema kwa majina yao katika orodha ya wapiga kura huku wakisema...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center. Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna...
1 Reactions
5 Replies
396 Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
1 Reactions
4 Replies
265 Views
Wakuu, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa...
0 Reactions
3 Replies
360 Views
Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala Leo Novemba 27,2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kwenye kituo cha Rest House kilichopo mtaa wa Shangani East Manispaa ya Mtwara Mikindani...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema kuwa hali ya usalama ni shwari katika vituo vyote vilivyopo katika vijiji 107 na vitongoji 813 katika Wilaya Hiyo ya Chamwino Mhe. Mayanja...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Back
Top Bottom