Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nauliza tu Ili nipate uelewa mpana kwa sababu namuona Raila Odinga anavyohangaika huko Africa magharibi kuomba Kura za nafasi ambayo siyo ya kitaaluma kabisa Ndio najiuliza sisi Tanzania hii...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu, Nimelia sana baada ya kuona picha hii ya Tundu Lissu akiwa anahutubia huko Singida. Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Kama tunavofahamu Leo tunapiga kura, na zoezi limeshaanza tayari. Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika, Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja...
0 Reactions
10 Replies
365 Views
Haya ni baadhi ya malalamiko yaliyoibuka katika uchaguzi wa serikali za mitaa na majibu ya wasimamizi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Geita leo Jumatano Novemba 27, 2024. Soma Pia...
0 Reactions
2 Replies
188 Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba, amesema watu nane wanashikiliwa baada ya kuchukua kura na kukimbia nazo. Soma pia: Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha...
1 Reactions
18 Replies
568 Views
Wakuu, Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa baada ya Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam kulalamika kadhia wanayoipata kwa kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha...
0 Reactions
3 Replies
435 Views
KAULI ya Naibu Waziri wa Afya na mbunge wa Jimbo la Siha,Dkt .Godwin Molllel kwamba fedha za maendeleo zinazotolewa na Serikali hazitokani na Kodi za wananchi bali ni fedha za chama Cha Mapinduzi...
1 Reactions
11 Replies
720 Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amepongeza mwenendo wa upigaji kura katika mkoa huo, akieleza kuwa mchakato huo umekwenda vizuri licha ya baadhi ya changamoto zilizojitokeza. Serukamba...
0 Reactions
2 Replies
171 Views
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba ameshiriki kupiga kura ya kuchagua Viongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji katika kituo cha Kwevizelu Kata ya Mahezangulu...
0 Reactions
5 Replies
311 Views
Wanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa...
5 Reactions
14 Replies
360 Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwasaidia wapiga kura kusoma...
0 Reactions
8 Replies
267 Views
“Kuna vyombo vya habari vimetangaza kuwa kuna mahali kura zimepigwa kabla ya vituo kufunguliwa nimeshangaa kumbe kuna Uchawi kwenye Uchaguzi maana nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga...
1 Reactions
17 Replies
745 Views
Hali ya upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji leo tarehe 27, Novemba 2024 mpaka muda huu wa saa 8 kamili mchana. TUKIO LA SHAMBULIZI Kwa masikitiko makubwa...
0 Reactions
1 Replies
458 Views
Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kimetangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 unaoendelea sasa, kutokana na kile walichodai kuwa fomu...
-1 Reactions
6 Replies
456 Views
Wakuu, https://www.youtube.com/live/1BGbDsl2-Vw?si=VNit5q0r1ZwBNF1J Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
2 Reactions
66 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green...
1 Reactions
11 Replies
730 Views
Back
Top Bottom