Wandugu kwema?
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Japo...
Ni nderemo na vifijo hapa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalim Julius Nyerere ambapo rais Magufuli anapokea ndege ya wananchi wa Tanzania aina ya Boeng 787 dreamliner inayobeba abiria 262...
Wakuu,
Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya...
Rais Samia amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwemo Viongozi wa dini na wadau wa Utalii kwa kuendelea kutunza Amani na utulivu, suala ambalo limechangia Ongezeko kubwa la idadi ya watalii...
Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa.
Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila...
Taasisi ya Aunty Rich Soso Pembe Foundation imefanya ziara kwenye Jiji la Arusha kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ).
Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa...
Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania
Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na...
Uchaguzi utakaoiondoa CCM.madarakani wa njia ya electronic tena live streaming.
Tofauti na hapo tuendelee kuongozwa kama ng'ombe au kondoo.
Silaha za CCM.kwenye chaguzi ni.
1. Rushwa kila.mahali...
TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024
KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya...
Chama cha @ACTwazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki.
ACT Kura 528
CCM Kura 417
Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 27 Novemba 2024 amepiga Kura ya kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Unyamwezini Kata ya...
CCM ni chama kikubwa chenye historia kubwa ndani ya nchi na nje ya nchi lakini nashauri yafatayo!
CCM kwenye chaguzi kuanzia 2019 imekuwana na woga kushindana na vyama vingine na kupelekea watu...
TAARIFA KWA UMMA
Tumeendelea kupokea matukio hujuma kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Utekaji, ukamataji kinyume cha sheria, kura feki, na kusumbuliwa kwa mawakala.
===...
Wakuu,
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida umeahirishwa baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Round One
Tanzania 19
Senegal 12
Niger 7
Rwanda 7
Special Round to eliminate one candidate
Niger 22
Rwanda 20
Absteein 3
Round Two
Tanzania 25
Senegal 14
Niger 6
Je, hiki ni...
DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI
Safari ya CCM 🚍
Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.