..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi.
..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM.
..maelezo ya...
Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ?
Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma?
Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana...
Hivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda.
Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya.
Nani atahoji...
Asubuhi niliwaeleza kuwa serikali ya CCM kupitia Mwanasheria mkuu na Waziri mkuu wapo kwenye mchakato mkubwa wakuzuia ripoti ya wizi wa Escrow isijadiliwe na bunge.
Sasa, jioni hii baada tu ya...
Wakuu,
Hivi vyama vingine ndio navisikia leo. CCM E imewahi kujitokeza isije kukosa mgao wao!
Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam...
Wakuu,
Watu wenye ulemavu kutoka mkoa wa Tabora wameeleza wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayowakumba wenzao wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wakisema kwamba baadhi ya watu bado wanashikilia imani...
Wakuu,
Hii kali! Kuna uchawa afu kuna hii!
====
Maombi ya viongozi wa dini mkoani Njombe yaliyofanywa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Hapo Novemba 27 Mwaka huu yametajwa kusaidia zoezi...
Mliweswee! Mianyeyeee!
Nawasalimu!
Kama Mtakumbuka Miaka Kadhaa Nyuma Vyama Vya Upinzani Viliwahi Kujiunga Kipindi cha Bunge La katiba na Kutumia Muungano Huo kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015, Kwa...
Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika...
Walimu, Manesi na Madaktari wanafanya kazi kwenye mazingira magumu lakini huwezi sikia eti Mama ameendaa motisha kwa ajili yao na kukabidhiwa hadharani
Sasa hawa wacheza kandanda wanafaida gani...
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa...
Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk.
Au wanaandika wakiwa...
Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake binafsi ndani ya chama, yaani mnampa fomu mgombea mmoja. Ukiangalia kwa makini kilichojificha nyuma ya kituko hicho ni kuogopa changamoto za ushindani ndani...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe leo Novemba 27, 2024 amepiga kura katika Kituo cha Mfoni Kitongoji cha Muro Kijiji cha Nshara kilichopo Kata...
Pamoja na uchafuzi uliofanyika, ningependa kuwasii Viongozi wa CHADEMA wawe wasikivu na kusikiliza ushaurii. Mwanzoni nilishauri tusishiriki kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa baada ya...
Binadamu wote wasio na Ubongo wa Wanyama na wale wenye Utashi wa Mtu wanacho kitu kinachowatofautisha na Wanyama wa Porini au wale wa kufugwa kama Paka, Mbwa, mbuzi,Ngombe nk Watu hawa wanayo...
Huo ndio Utu huwezi kuacha msiba nyeti wa mpiga kura wako na kukimbilia Dar es salaam Kwenye kikao cha Kamati Kuu
Ilitakiwa Wanachama wote Watatu wazikwe kule Singida, Tunduma na Bikoba kisha...
Ndivyo watawala wa chama tawala wanavyoendesha nchi hii. Makosa yanayofanywa na watu wao huwa kila jitihada itafanywa kuyafunika. Na hawaoni aibu juu ya hili, huwa wanasema waziwazi ukiwa mtu wao...
"Umati huu wa watu ambao mmekusanyika leo(Novemba 29, 2024) uwanja huu wa Kawawa ni ishara dhahiri ya kwamba sisi ndio washindi katika uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa Vijiji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.