Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Kiukweli tangu mwaka huu uanze kumekuwa na utitiri wa matukio ya mauaji na utekaji ambayo hakuna hata moja tumepatiwa majibu. Tukio likitokea, formula ni ile ile. Polisi watatoa...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa -...
1 Reactions
2 Replies
247 Views
Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu. CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe...
6 Reactions
16 Replies
413 Views
Wakati Prof Mkandara akiongoza Kikosi Kazi Cha Wanasiasa Nilidhani angeliona na kulisemea hili kwamba nyakati fulani nature ya maisha ya Jamii kwa wakati huo ndio hulazimisha mabadiliko ya mifumo...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Ni kweli kuna utekaji nchi hii ila ukisikiliza simulizi nyinhi za mashuhuda utakubaliana na mimi kwamba ukondooo wa Watanzania una play part kubwa sana huenda nusu yake. Ukisikiliza shuhuda ni...
7 Reactions
20 Replies
889 Views
Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama...
1 Reactions
13 Replies
852 Views
Haya ni maswali fikirishi na chokonozi kabla ya Majibu fikirishi, Nini kimejificha nyuma ya Ziara hii ya huyu Waziri? Bila kuja na haya maswali huyu kijana hata shati lake hatutaliona na...
9 Reactions
92 Replies
3K Views
Hali ya Teka Teka ukiendelea ni wazi Waganga wa Kienyeji watapata fursa za Ajira kwa wanasiasa ama kuwapa miziziology au Walinzi Wanaoonekana( Ndundami) au Walinzi wasioonekana( Majini) Tuombe...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
The regional commissioner of the Tabora Region Ukiwaona Ditopile Mzuzuri has been arrested under suspicion of shooting dead in the head a Dala-Dala Driver last night. News that reached TZUK.net...
9 Reactions
661 Replies
104K Views
Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024...
8 Reactions
92 Replies
5K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Uchaguzi wa 2019 hakuna Mtu aliuawa " hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja" Hakika Shujaa...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu, Waliomteka Bonge haitofautiani sana na yule wa Dar 24, wote wanajulikana sema kwa Bonge wameonekana na Watanzania wote, wapo waliotoa taarifa zao huko X na kule Stedi ya Magufuli...
3 Reactions
13 Replies
839 Views
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya uchaguzi Jaji mstaafu Mbaruk Mbaruk anesema Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura Mawakala wa Vyama Vya Siasa wataruhusiwa kuwepo lakini...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio, Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula, Ni Kama...
43 Reactions
127 Replies
6K Views
Tanzania ya sasa imekuwa ya hatari kuliko Tanzania ya awamu yeyote ile ila wanachi wanaumia mouoyoni mwao na hawasemi kuhofia uhai wao. Nchi ya amani na kidemokrasia imegeuka ghafla. Uoga ndiyo...
6 Reactions
20 Replies
356 Views
https://americafirstpolicy.com/issues/eliminating-degree-requirements-from-public-sector-job-requirements
2 Reactions
1 Replies
162 Views
KADA mkongwe wa CCM Mzee Wassira amumuelezea marehemu Faustine Ndugulile kama Kiongozi aliyekuwa na misimamo isiyoyumba wala kuyumbishwa Wassira anasema " Misimamo yake wakati mwingine ilikuwa...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili...
2 Reactions
3 Replies
203 Views
Salaam. Leo nimepata safari ya kuja kigongo Busisi aiseee ukiwa dar es salaam huwezi elewa umuhimu wa hili daraja. Magufuli aliona mbali sana na alipenda maisha ya watu wa chini yawe na nafuu...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom