Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu. Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa...
2 Reactions
14 Replies
9K Views
1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka. Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye...
6 Reactions
15 Replies
887 Views
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi? Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo? Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na...
11 Reactions
65 Replies
19K Views
By expert!! Designing axial loads for road construction involves several steps to ensure the pavement structure can withstand the expected traffic loads over its lifespan. Here’s an overview of...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Msaada mwenye kufahamu dawa ya kuua nyasi zinazoota ardhini. Nahitaji mtu aliyekwisha tumia hiyo dawa na nyasi hazikuota tena.
1 Reactions
9 Replies
541 Views
As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo. Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona...
0 Reactions
4 Replies
431 Views
NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE KILA SEKONDARI YA KATA UNAENDELEA VIZURI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 kwa sasa lina Sekondari 26 za Kata na 2 za Madhehebu ya Dini...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Mwenye uzoefu na gharama zifuatazo anambie nyumba ina vyumba vinne, jiko seble, vyoo viwili na bafu Gharama ya plaster= Kupaka rangi= Wiring= Plumbing= Tiles=
2 Reactions
12 Replies
3K Views
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi...
0 Reactions
3 Replies
201 Views
Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
12 Reactions
66 Replies
5K Views
Image source: Pinterest Nyumba si gereza. Kutokana na mfumo wa ujenzi wa sasa ambapo tunaweka chuma kila dirisha na baadae tunavisha madirisha ya vioo (Aliminium) ni mihumu kuweka dirisha la...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za leo naomba ushauri kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora
6 Reactions
93 Replies
3K Views
MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
MAKALA YA 9 Leo tuangazie janga ambalo limekuwa likitokea katika nchi yetu kila baada ya miaka kadhaa. Kuanguka kwa Majengo 1.Sababu kuu za Kuanguka kwa Majengo ni kama zifuatazo MSINGI WA JENGO...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7, nina kiwanja Kibaha, naomba ushauri kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu, choo na sebule? Mwenye mawazo ya bajeti hii na...
2 Reactions
161 Replies
42K Views
Habari za wakati huu ndugu na jamaa, mimi ni mhanga wa tatizo la mbao za nyumba yangu niliyopaua miezi 9 iliyopita toka mwezi wa 9 mwaka jana ila kufika leo hii nasikia juu kwenye dali kelele za...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
KIPAUMBELE CHA SERIKALI KWA SASA NI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MSINGI ILI KUONGEZA UDAHILI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema...
1 Reactions
0 Replies
148 Views
MIKUTANO YA HADHARA NA HARAMBEE ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI Wito: Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameombwa na wananchi wa baadhi za kata aungane nao...
1 Reactions
1 Replies
210 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…