Wasalam...
Ikiwa ni ijumaa safi kabisa yenye baraka na fanaka tele...
Bila kuwachelewesha leo naomba niwakutanishe na mafundi wote ambao wapo hapa jf kutatua shida mbali mbali ukiachana na mimi...
Wataalam wa Saikolojia naomba mnisaidie.
Jinsi ninavyo zidi kupata pesa, na ndio idadi ya kutembea na wanawake inaongezeka sana, tena nawapata Kwa urahisi sana tofauti nikiwa Sina pesa
Ila...
DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha...
SERIKALI KUJENGA DARAJA LA KALEBE NA KYANYABASA – BUKOBA VIJIJINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inakamilisha taratibu za kuanza ujenzi wa Madaraja makubwa mawili ya...
BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane...
DKT. NCHIMBI AMUAGIZA BASHUNGWA, UJENZI WA BARABARA YA KYERWA - KARAGWE KUANZA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa...
LIFAHAMU DARAJA LA RUAHA MKUU - MOROGORO
Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9...
Ndugu zangu, habarini.
Naomba ushauri, nataka kujenga. Nimepigiwa mahesabu kwamba paka nyumba kuisha ninatakiwa mifuko 300 ya cement.
Sasa, nafikiria kununua toka kiwandani kwa jumla ili kupata...
Agosti 5, 2024 kumefanyika makabidhiano ya mradi wa ujenzi wa nyumba 74 za waathirika wa maporomoko ya matope zilizopo katika eneo la Warret Wilayani Hanang kati ya Suma JKT na Ofisi ya Mkuu wa...
Kuna wanaoshinda kutwa nzima na mafundi apo saiti wakifatilia kila kinachoendelea lengo ni kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Mbinu hii inataka uvumilivu mkubwa maana kushinda tu sehem nayo ina...
RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania...
Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials"
Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete"...
Wanajamvi tuchangiane mawazo tafadhali kwa wale ambao wamekutana na kazi hizi mbili;
1. Mfumo wa choo cha kizamani, namaanisha unamuita fundi anachimba shimo anajengea vizuri kama tunavyofanya...
BILIONI TATU (3) ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MOROGORO DC
Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ina jumla ya Tarafa 6, Kata 31, Vijiji 149 na Vitongoji 733 pamoja na Watumishi wa...
Habari za leo wakuu
Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq
Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi,
Natamani kujua makisio kwa floor
14*17
Naombeni msaada
Nyumba ina ukubwa wa mita 14 kwa 12.5,
Ina vyumba 3, Sebule 1, Dinning room na jiko.
Fundi ameniambia labor charge ya kuweka zege/rough flow ya inchi mbili nyumba nzima ni 500,000/-,
Na ya...
Wanajukwaa Habari,
Naomba kuwekwa wazi hivi hizi nyumba za NHC kwa hapa Dar zinapatikanaje? Au wanaoishi hizi nyumba wameshazinunua au hawahami? Mwenye experience kidogo please
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4)...
WAZIRI BASHUNGWA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KOREA KUSINI, WAJADILI NAMNA YA KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.