RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na...
Wadau wote wa JF poleni na majukumu.
Nimetenga 5M hadi 7M, Natafuta kiwanja Mwanza kiwe halmashauri ya ilemela au nyamagana.
Sifa za eneo
1. Kiwe sehemu tambalale au mwinuko mdogo unaoruhusu...
Habari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema...
Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie..
Hawa...
UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI) WAFIKIA 85%.
Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa...
ZIARA YA ya MAKAMU WA RAIS MKOANI KIGOMA - Mkutano wa Hadhara Kata ya Makere, Muhambwe
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema kuwa Jimbo la Muhambwe linaongoza kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya...
HUDUMA ZA AFYA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Ukubwa wa Jimbo letu:
Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374
Idadi ya hospitali, vituo vya afya na zahanati:
(1) Hospitali ya...
Goguryeo nimeamua nisihonge tena, baada ya msoto mkali wa Ajira bila kuwapo Kwa tumaini, nimeona sasa kidogo nachokipata nianze nunua walau tofali.
Wakuu wangu naamini mnaweza nisapoti walau...
BASHUNGWA ATOA TAMKO MPASUKO WA BARABARA BUSUNZU - KIGOMA, SIO UPIGAJI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara...
DKT. MPANGO AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE KIGOMA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya...
Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500...
MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu...
DKT. MPANGO AAGIZA KUKAMILIKA UJENZI WA BARABARA YA MALAGARASI -UVINZA IFIKAPO MACHI 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro wameendelea kuchukua hatua za haraka kuziba mashimo yaliyotokeza katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa hasa eneo la hifadhi ya Taifa...
It is just an idea na hizi dimensions na layout nimejaribu kuweka ili mwisho iwe kama hapa chini
Hints
Colums za kubeba slab iwe 2.5m
Msingi wa kulia uwe coz 8 na kushoto uwe 4 tu ili ifanye...
NITAKUJA KUMKABIDHI MKANDARASI, UJENZI WA LAMI BARABARA YA OMURUSHAKA - KYERWA: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)...
Habari za asubuhi wana jukwaa wenzangu.
Naenda moja kwa moja kwenye maada nipo kwenye hatua ya kupau nyumba. Nimeumiza kichwa sana kuwa ni bati gani ambazo zitaendana na uwezo wangu ALAF achana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.