Wakuu nianze kwa kutoa salamu kwa wote ikiwa ni pamoja na pole kwa mihangaiko ya siku. Tukirudi kwenye kwenye kichwa cha habari, nimekiwa nikiishi kwenye nyumba za kupanga karibia miaka mitano...
Hello habari za muda huu,
Leo maeneo mengi yamekuwa na mgogoro/mgogoro wa ardhi kwa sababu ya baadhi ya wamiliki kutokuwa na elimu nzuri ya ardhi wakati wa manunuzi pia wakati wa utunzaji na...
Wakuu sio kila mti unafaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani maana kuna inayokuwa mikubwa kiasi cha kupasua hata kuta za nyumba kuna ya kutoa majani mengi kiasi cha kuchafua uwanja n.k
Wajuzi...
JIMBO LA KITETO: TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO
TUMEPOKEA FEDHA KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO KIASI CHA SHS 965,280,029
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto, nachukua fursa...
Dunia imeingia kwenye teknolojia mpya ya kuchapa nyumba badala ya kujenga, teknolojia hii inaitwa 3D HOUSE PRINTING, badala ya kujenga sasa unatumia printa inafanya kazi kama printa ya kawaida...
Serikali imetoa fedha kwa Kata mbili (2) kujenga sekondari mpya za Kata hizo.
Kata hizo ni:
1. Nyamrandirira
Sekondari itajengwa Kijijini Kasoma
2. Bukima
Sekondari itajengwa...
Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inafanya jitihada za kuhakikisha inarejesha mawasiliano katika maeneo ambayo miundombinu ya barabara imekatika kutokana na...
Wakuu njooni, kuna mtu hapendi kuishi nyumba safi nzuri na salama?
Nyumba ni nyumba hata iwe chumba cha kupanga. Binafsi huwa naandaa home tips zinazogusa nje na ndani ya nyumba, sittingroom...
Tunatoa huduma ya ufundi popote Tanzania tunafika, huduma ni kwenye nyumba za kuishi, biashara, ibada, na masomo tunapatikana Dar
+255713545784 pia whatsApp
etkisesa@gmail.
com
Hbr wana JF,
Naomba kuuliza, natarajia kuanzisha ujenzi wa nyumba ya gorofa 1 yenye ukubwa wa 14mt x 15mt. Vyumba vinne juu chumba kimoja chenye ft 17.5x17ft
JE, tone 5 za nondo milimit 12...
Kwakweli nimechanganyikiwa, wanajamvini nisaidieni Mimi masikini, nafanya ujenzi lakini nahitaji vitu Bora na vya kipekee lakini uwezo wangu mdogo.
Sasa kama ilivyo sisi watanzania na dunia nzima...
Kuna vitu vitatu vikuu ambavyo huumba matokeo ya malipo ya bili yako ya umeme.
1.Muda wa matumizi ya vifaa vyako kwa siku.(Time)
2.Ukubwa wa vifaa vyako kimatumizi( Wattage)
3.Ubovu wa...
Mambo vipi wakuu Natumaini mko poa kabisa, niende kwenye mada Moja kwa Moja, ni hivi toka jumatatu nilikuwa kama kibarua kwenye kumwanga zege baadhi ya maeneo,.
Kiasi tulichokubaliana ni kwa siku...
Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
Habari
Naomba ushauri wa kununua ama kujenga nyumba iliyo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Skwea mita 100.
Ambayo ramani yake ni nyumba ya vyumba viwili, choo cha Public, jiko na sebule...
Naombeni ushauri nineumiza kichwa kuhusu mabati bora ya kuezekea kuna mtu kanishauri nichukue ALAF SIMBA DUMU ile isiyo na rangi migongo midogo mwenye uzoefu nayo tafadhali 🙏🙏🙏
Habari zenu wadau wa ujenzi.
Kama title inavyojielezea. Nahitaji kujenga hapa Singida mjini na mimi sio mwenyeji sana, naomba kuuliza kwa wakazi wa Singida bei za viwanja hapa Manispaa kwa wastani...
Ukiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.
Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!
Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea.
Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7...
Habari.
Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.