Wakuu Habarini Za Mchana, Naomba Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada, Naomba Kupewa Elimu Na Ushauri Sahihi Juu Ya Uwekaji Wa Madirisha Ya Aluminium, Faida Zake Na Hasara Zake, Pia Ni Kwanini Wengine...
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI JENGENI VITUO VYA BODABODA - MHE. MCHENGERWA
Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga...
Nataka kujua gharama ya kupiga plasta vyumba viwili nnje na ndani, chumba master na single, na katikat kuna ki korido kina Choo public, pamoja na kuweka zege chini kwenye floor kote ndani
MAKANDARASI WAZAWA KUPEWA MIRADI HADI YENYE THAMANI YA BILIONI 50: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesikia kilio cha Makandarasi Wazawa na...
Nyumba za contemporary au hidden roofing zimekuwa ni moja ya staili ya nyumba ambazo watu wengi kwa sasa wanapenda kuzijenga haswa vijana maana ndizo zilizo za ‘kisasa’ kwa sasa! Nyumba hizi...
Juzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote
Ila jana kwenye sehemu fulani...
Wadau, salaam!
Ceiling ya sitting room ya nyumba yangu ina ukubwa wa eneo wa 36m² (yaani urefu ni mita 6 na upana ni mita 6).
Nataka kuweka taa za surface. Nimeenda dukani nikakuta kuna taa za...
MAKALA YA 7
Karibu katika Makala yenye kukuhabarisha mambo kadhaa Juu ya Ujenzi,leo tunaangazia japo kwa ufupi juu ya "Nyufa"
1. Nyufa ni mpasuko/Mipasuko inayojitokeza katika sehemu ya jengo I.e...
Habarini wadau huko mliko , najua mambo yanakwenda SAKO kwa BAKO kwa upande wenu, Rejea kichwa cha habari hapo juu nilikuwa nahitaji kufaham je vyumba viwil na sebule kwenye msingi itanighalim...
Kuna wafanyabiashara hasa wa Turiani (Madizini) Morogoro wanawauzia watu wasiojua bati za gauge 32, wakiwaambia ni 30 gauge.
Na hawataki urudishe mzigo hata ukigundua kuwa bati hizo ni fake...
Habari za asubuhi ndg wakuu.
nimejitafuta kwa miaka 14 tangu nilipohitimu chuo sasa nafikiri kujiajiri kwa sababu nimesubiri ajira kwa muda mrefu bila mafanikio.
Nafikiria kujiajiri katika fani...
Habari wanaJF
Ni hitaji la kila mtu kuwa nyumba bora ya kuishi. Katika hatua za ujenzi tunajua kusimamisha jengo sio shughuli sana.
Kazi inakuja kwenye kufanya finishing ambapo gharama zinaweza...
Habari wakuu
Nina mpango wa kufanya maboresho nyumbani na kwa kuanzia ninatamani kurekebisha choo na bafu, kuna tiles tayari ila style ya kizamani inaishia nusu ukuta so kwa sasa nataka kuweka...
KAZI ZA UJENZI ZIFANYIKE KWA UBORA NA UZALENDO - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Makandarasi nchini kutekeleza miradi ya ujenzi kwa ubora na...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara...
Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua...
Habari wanajukwaa
Kumekuwa na debate zinaendelea kuhusu ubora wa vyoo hivi vya kisasa wanavyosema havijai kamwe kulinganisha na vile vilivyozoeleka.
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa, kipi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.