Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema Serikali imedhamiria kujenga Barabara kwa kiwango cha Lami...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kutafuta fedha kupitia wahisani mbalimbali wa maendeleo ili kusaidia Makandarasi wa ndani kuwa na uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati "Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo...
1 Reactions
0 Replies
283 Views
Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au...
1 Reactions
1 Replies
387 Views
Wakuu Salama? Naomba mnifanyie critical Review ya huu mchoro toka Kwa Mtaalam wangu.Lengo langu ni 4 bedroom all ensuite Kwa Familia Kubwa/AirBnB na pia. Itajengwa Village.Wanafamilia watatumia...
0 Reactions
8 Replies
645 Views
Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
"Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya...
0 Reactions
2 Replies
267 Views
MBUNGE NICODEMAS MAGANGA Amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe "Maeneo ya Kanda ya Ziwa tunayo changamoto, Barabara ni mbaya sana, nyingi ni za vumbi, Magari...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Aitaka Serikali Kuiongezea ROAD FUND Bajeti ya Kutosha Ili Kuboresha Barabara (KM 71) Kongwe Nchini "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa jinsi alivyoweza kununua mitambo ya...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wizara ya Ujenzi inasema yafuatayo: 1. Matayarisho ya Manunuzi (kumpata Mkandarasi) yanakamilishwa. Barabara litajengwa kwa awamu mbili, kwa kuanza na km 40. 2. Randama (Kitabu cha Bajeti)...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24. Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na...
1 Reactions
1 Replies
251 Views
ampongeza Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu na kikosi kizima cha Wizara ya Ujenzi. Sote tumeona jinsi ambavyo Mvua zimeharibu miundombinu kwa mwaka huu lakini wamehangaika usiku na mchana...
1 Reactions
0 Replies
303 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi...
0 Reactions
4 Replies
334 Views
BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE TISA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele tisa vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
SEKTA YA UJENZI YACHANGIA ASILIMIA 14 PATO LA TAIFA Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita. Haya yamebainishwa na Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI. Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Nahitaji mtu wa kunipa kazi za umeme. Nina uzoefu wa kutosha na nimefanya kazi nyingi tu kama wewe ni mjenzi unayechukua kazi za umeme basi mimi nipo hapa. Ukiamua kuniuzia kazi sawa tu au...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo amesema kwa sasa mtu akifika katika Jiji la Mbeya hajui mjini ni wapi kutokana na mpangilio wa jiji hilo. "Wananchi wa mkoa wa Mbeya, kiu...
2 Reactions
2 Replies
354 Views
Back
Top Bottom