Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji wa huduma...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake.
Maonesho...
Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main...
Kwa mfano tuna mpango wa kujenga vijiji au miji ya kisiasa kwa mwaka.
Kwa fedha hii Tshs billion 500 au Trillion 1 tunaweza jenga flat ngapi ? Au nyumba ndogo ngapi?
Na ipi ni nafuu na kisasa...
Acheni jamani,
Naumwa.
Yani nina kama burn out fulani, hata siwezi kupokea simu za watu.
Ujenzi unachosha sio tu mfuko, na wewe pia unayesimamia unachoka hovyo kabisa.
Nilianza mwezi wa saba...
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.
Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:
Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc...
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI
"Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani...
MBUNGE TAUHIDA GALLOS: Kliniki ya Kutatua Migogoro ya Ardhi Iwe Endelevu Kila Mkoa, Jimbo na Wilaya
MHE. TAUHIDA GALLOS, Mbunge wa Viti Maalum Akichangia Hotuba ya Bajeti Wizara ya Ardhi, Nyumba...
MAKALA YA 10
Karibuni katika Makala pendwa ambapo tunajadili mambo mbalimbali kuhusiana na ujenzi.
Leo tuangazie kwenye kipengele cha Uchaguzi wa rangi(Colour) ya matilio ya kumalizia/finishing...
Nina rafiki yangu anataka kujenga nyumba ya gorofa moja, katika mchoro wa ramani architecture aliweka kua zitumike nondo za 14mm beam na 16mm columms.
Katika kuanza kujenga fundi chuma alishauri...
Kwema ndugu, leo nikiwa maeneo fulan nilikutana na ubishi. Ubishi huo ulitokana na baadhi ya vijana wanaoishi katika kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam.
Vijana hawa walikuwa...
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa...
Nina uzoefu wa miaka miwili as Lab technician nimefanya Bwawa la Umeme la mwalimu Nyerere.
Natafuta kazi as
Civil technician
Foreman
Lab technician
CAD technician
Nipo Dar es salaam
wakuu msiseme sikuwashirikisha ndoto yangu ya kutaka namimi ninyee juu kabla sijaitwa na muumba.
Naomba muongozo wapi zinaweza kutumika kokoto za ubuyu (zile laini) na wapi natakiwa kutumia...
1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma.
Unabisha....?
-Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo.
2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo...
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza.
Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka...
Nimeona watu wengi wamekua wakikumbana na changamoto za kununua ardhi na hii ni kutokana na elimu ndogo juu ya mchakato upi sahihi wa kutambua mmiliki haswa wa kiwanja husika.
Kuna hii kitu...
Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, poleni na harakati za hapa na pale, kikubwa tuombe uzima tufanikishe ndoto zetu na malengo yetu.
Habari njema ni kwamba nimekuja na taarifa kua kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.