NAIBU WAZIRI KATIMBA AWATAKA VIONGOZI HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI YA ELIMU KWA WELEDI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini...
DARAJA LA RUHUHU LABORESHA MAWASILIANO MKOA WA RUVUMA NA NJOMBE.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua Daraja la Ruhuhu lenye urefu wa mita 98 ambalo linaunganisha Wilaya ya Nyasa Mkoani...
WAPANGAJI WA NYUMBA ZA TBA, KULIPA KODI NI WAJIBU: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa(Mb) amewataka Wapangaji wanaokaa kwenye nyumba na majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania...
Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote.
Tupigie au WhatsApp
0759009331
Masaa 24 siku 7 za juma.
Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote.
Tupigie au WhatsApp
0759009331
Masaa 24 siku 7 za juma.
MBUNGE MAVUNDE AAHIDI UJENZI WA KIVUKO KINACHOUNGANISHA KATA YA MSALATO NA MIYUJI
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde akiongozana na Diwani ya Kata ya Msalato Mh. Nsubi Bukuku...
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
Msingi nataka kujenga wa mawe na uwe juu urefu wa mita moja.
Wataalamu naombeni makadirio ya gharama inaweza kufikia kiasi gani mpaka huo mjengo ukamilike kutokana na vielelezo vinavyoonekana...
Mimi ni plan ya kujenga mwaka huu, nyumba yenye vyumba vitatu katika mkoa wa PWANI. Sasa nilikuwa nataka kujua inwea kugharimu bei gani mpaka imamilike ili nijiandae vizuri financially.
RAIS SAMIA AMETOA BILIONI 150 KUJENGA BARABARA YA LUSAHUNGA - RUSUMO
Mbunge wa Jimbo La Ngara Mhe. Ndaisaba Ruholo Amemupongeza Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa...
Wakuu habari,
Hapo juu mada imejieleza ila nahitaji kujua utofauti na ubora wa mashimo yetu ya vyoo, maana hivi karibuni kumeibuka technolojia mpya ya uchimbaji wa mashimo ya vyoo (vyoo vya...
Salaam Wana jukwaa la Ujenzi,wakiwemo wahandisi Ujenzi na Mafundi wote.Nahitaji kujua standard ratio ya Kuweka Sakafu ya Cement ikoje
.Nina Eneo lishawekwa Jamvi la Ukubwa wa SQM 145.Fundi...
Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu...
Shalom wajoli wa bwana. Katika pitapita zangu hapa na pale nimebahatika kufanya kazi iliyonikutanisha na kundi kubwa la wastaafu wa wa makundi(nssf, psssf na wale wa serikali kuu (hazina)). Lakina...
Wadau poleni na majukumu nakuja mbele ya jukwaa nikiomba ushauri wa kampuni nzuri inayouza mabati kwa ajili ya kuezekea.
Nimeuliza mafundi kadhaa wamenishauri nitumie migongo mipana lakini...
RAIS SAMIA AKAMILISHA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ILIYOASISIWA NA JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya...
RAIS SAMIA ATOA WITO WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasafirishaji...
Mimi binafsi napenda nyumba simple, mfano dar likiwa flat na likawekwa taa za urembo Huwa inatosha sana na wengine wanamini kwenye urembo ambao ni complex kama ni dar atakuwekea maua nk , weka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.