UFAFANUZI WA HOJA YA GHARAMA ZA MRADI KWA KIPANDE CHA 3 NA 4 CHA SGR KWA WASTANI WA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 1.3 NA MILIONI 1.6 MTAWALIA NA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI YA TSH. TRILIONI 1.7...
Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana...
Mzee wangu amenipa eneo la kujenga..
Mm ni kijana na mtt wa kwanza miaka 28.
Nimepata kazi ya kujitolea katika taasisi ya umma lakini kwenye suala la malipo yanachelewa hata miezi 3 ila wakilipa...
Ndugu mwana JF,
Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana.
Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii...
WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU
Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu...
Nilibishana na rafiki yangu, yeye ameamua kujengea matofali ya kuchoma. Anasema ubora wa tofali la kuchoma liliokwa sawa sawa unazidi matofali ya saruji. Yeye pesa anayo ila ameamua kutumia...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali tayari imeelekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 840 (Dola za Marekani Milioni 325) katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya...
Habari Wana JF,
Ninaomba ushauri wenu katika hili, nataka kujenga lodge yenye vyumba sita vyote self, iwe na kitchen ndogo reception na laundry room.
Kwa mahesabu ya haraka haraka unaweza...
BASHUNGWA MGENI RASMI KONGAMANO LA 9 LA WAHANDISI WANAWAKE, 2024.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika...
Habarini za wakati huu wadau...
Tupo katika dunia au kizazi cha teknolojia na mapinduzi makubwa katika nyanja zote ambazo zinahusu teknolojia na ujuzi, lakini haina maana kwamba waliopita...
Wakuu habari za majukumu.
Naomba niende moja Kwa moja kwenye madam.
Nataka kujenga nyumba za kupangisha ila nimechagua nyumba aina hii ya nyumba ambazo hazina corridor nyingi. Hili NI wazo tu...
WANAKIJIJI WA KATARYO WAAZIMIA KUJENGA SEKONDARI YAO MPYA NA WAWEKA RATIBA YA KAZI ZA UJENZI
Kata ya Tegeruka ina vijiji vitatu na sekondari moja ya Kata iliyojengwa Kijijini Tegeruka.
Wanafunzi...
Kuna wateja kadhaa,nishakutana nao wakiuliza juu ya kipindi gani cha mwaka ni kizuri kwa ajili ya wao kuanza ujenzi....
Nitafanya uchambuzi kwa kuzingatia vipindi vinne vya mwaka.
4.MASIKA...
Hi JF.
Ndugu zangu naomba mawazo yenu.
Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga...
Kuna fundi kaja hapa kisha akampa Mteja nionge nae mteja akasema nimpe mahitaji anayo taka kisha nimtumie bili zote
Nondo pis 28 fundi aka chukuwa 14 tu
Binding ware 10 fundi kachukuwa tatu...