Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika...
MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi...
BASHUNGWA AFIKA SOMANGA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA DAR - LINDI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amefika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi kuungana na Timu ya Watalaamu wa...
Salaam wakuu,
Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165.
Landscape generally ni flat.
Wataalamu na...
SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA
"Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha...
WIZARA YA UJENZI YATAKIWA KUSIMAMIA MIKAKATI YA USHIRIKI WA WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kusimamia kikamilifu mikakati ya...
Wakuu habari za majukumu.Mtaalam àmenipa hii draft ya ramani.Naomba Maombi wapi pa kurekebisha.Niayangu ni Nyumba ya Vyumba 4 Vyote Self,inaweza kutumika Kijijini lakini watu wakiondoka...
Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji...
Wengi wanaogopa sana kujenga ghorofa wakizani labda mpaka uwe na pesa nyingi ndio ujenge. Ukiamua hakuna kinachoshindikana, kama umeweza kujenga nyumba ya chini,jua una uwezo pia wa kujenga...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG)...
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha...
Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari.
Huwa zinatumika pamoja na gypsum.
Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk.
Naomba kujua duka na bei zake.
Habari.
Nina shida na Ramani ya nyumba yenye sifa zifuatazo
-Vyumba viwili vya kulala, kimoja master
-Sitting room
-Public toilet
-Jiko
Naomba kuwasilisha
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai Ameuliza, Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa daraja la mto Athumani?
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amejibu na...
Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kuenga jumla ya nyumba za walimu 562 zitakazochukuwa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kushirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuunda timu za wataalam zitakazoshirikiana na Ofisi ya Mkuu...
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.
Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.
Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ".
Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu.
Karibuni.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa...
Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu.
Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia...