Habari Wakuu!
Kampuni ya China inayotengeneza SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza CCECC, inakaribia kuacha kuendelea na ujenzi huo wa reli sababu wanadai fedha nyingi serikali wanasema hawajalipwa...
Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike...
Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamisha kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo.
Je njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
Habari ndugu zangu
Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa...
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la...
BRT, FLY OVERS NA BARABARA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MIJI NA MAJIJI YATEKELEZWA
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UJENZI.
Serikali imesema imekamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa 1, 198.50 katika kipindi cha miaka mitatu cha Mheshimiwa Rais...
MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UJENZI.
Serikali imesema imekamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa 1, 198.50 katika kipindi cha miaka mitatu cha Mheshimiwa Rais...
VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5...
MADARAJA 8 MAKUBWA YAMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya...
LOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
Public toilet/bathroom moja.
Uzio full not les than 400m².
System ya maji ya kisima na pump.
Umeme.
Gutters and tank
habari zenu wakuu
kutokana na changamoto kubwa zinazotokea kwa watu wengi hasa upande wa ujenzi kwa kutumia vyuma BEST MACHENICS COMPANY tumekuja na huduma inayohusisha design and fabrication ya...
Wakuu mimi nina solar ya 160W chloride betri N100.
Natumia taa 12 na tv inch 15 cha ajabu nikiangalia tv masaa 3 mfululizo tv inaniandikia no signal. Je tatizo ni betri kuisha nguvu au ni dish?
Wakuu heshima kwenu
Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali...
Wanajamvi nahitaji ushauri,
Nimedunduliza nakaribia kuvunja kibubu cha ujenzi wa nyumba. Nimeshachorewa ramani na makadirio ya gharama. Leo kwa shauku kubwa nimemuonyesha ramani boss wangu...
UJENZI WA BARABARA YA SANZATE - NATA WAFIKIA 45%
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya Sanzate - Nata iliyopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara (km 40) kwa...
WANANCHI WA KATA YA NYEGINA WAAMUA KUHARAKISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SEKONDARI YAO MPYA
Kata ya Nyegina yenye vijiji vitatu (Kurukerege, Mkirira na Nyegina) inazo sekondari mbili ambazo ni...
Rejea kichwa cha habari,
Kwa kawaida nyumba inatakiwa kuwa na urefu kiasi gani kutoka kwenye floor hadi kwenye ceiling. Nimeinhia nyumba moja hapa ni ndefu sana kiasi kwamba ukiongea sauti...
Apart from standardized nominal mix, that mostly used at situ , and structure construction, let now try to calculate at available data of designing advanced mix depending the requirements of...