Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Wa JF, Naombeni ushaur wenu nahitaji kuwa Pinter mzuri wa ramani za nyumba je naweza kwenda kusoma na kama naweza sifa za kujiunga na chuo ni nini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Naomba ushauri wa kitaalamu au kutoka kwa mdau aliyepitia hii changamoto ya ufa kwenye ukuta wa nyumba baada ya kumaliza ujenzi. Fundi alijaribu mara mbili kutumia magunia kuziba lakini...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
BASHUNGWA ASHIRIKI IBADA KKKT - KARAGWE, ASKOFU BAGONZA AISHUKURU SERIKALI. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Habarini ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Wakuu natafuta kiwanja ukubwa futi 50*40 maeneo ya bagamoyo road bei kuanzia million moja hadi mbili Natanguliza shukurani
2 Reactions
7 Replies
873 Views
Ndugu zangu wa jf leo tujifunze umuhimu wa bakteria aerobic na anaerobic katika mfumo wa maji taka (drainage system) KUNA AINA 2 ZA BAKTERIA NDANI YA SEPTIC TANK 1.Aerobic hawa ukaa juu ya ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi karibuni (kama miezi minne iliopita) nimemaliza kupiga plasta, nilimwagilia maji vizuri kwa siku nane nashangaa leo nmetembelea site nmekutana na nyufa hizo. Je, is it very fatal?
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari ya asubuhi wakuu?. Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks...
7 Reactions
57 Replies
4K Views
Kama heading inavyojieleza, nilinunua kiplot kidogo ivi nikajenga kajumba ka vyumba vitatu mbele kuna kanafasi ka parking ya gari ndogo na nyuma kukabaki nafasi ndogo ambayo nikatumia kuchimba...
4 Reactions
74 Replies
5K Views
1. Room 20 za kisasa 2. Vitanda vikubwa vya kisasa 3. A.c. 4. Maji ya moto, kwa hita kubwa 5. Sweeming pool 6. Michezo ya watoto ya kuteleza kama pale Tanga beach resot na kwingine. 7. Reception...
3 Reactions
172 Replies
30K Views
Nipo Mkoani, anayeuza Gypsum board na kusafisha nilipo anicheck. Aina ni Thailand.
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na...
1 Reactions
0 Replies
313 Views
SERIKALI KUONGEZA BILIONI 4 KUKAMILISHA UPANUZI WA NJIA NNE BUKOBA MJINI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tayari Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza...
0 Reactions
3 Replies
538 Views
Mambo vipi wanajamii forums Ningependa kuchukua fursa hii kuuliza Hivi gharama za mafundi wakuinstall steel structure huwaga wanachaji kwa mfumo upi ikiwa unataka kumuuzia kazi ya installation...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna wimbi la nyumba nzuri na za kisasa kwa mwonekano zinaziuzwa kwa bei chee 25m-45m Mbagala Chamazi na Chanika jijiji DSM. Mchezo upo hivi: Kuna jamaa wana viwanja vingi na wana mafundi wao...
26 Reactions
61 Replies
14K Views
Serikali imepanga kuziunganisha Wilaya za Misenyi na Bukoba Vijijini kwa kuanza ujenzi wa barabara ya Kyaka - Katoro - Kanazi hadi Kyetema yenye urefu wa kilometa 60.7 kwa kiwango cha lami ili...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida [emoji28]ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856 8000tsh!(milioni mia mbili...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada juu ya ukuta wangu huu umeharibika vibaya na kila siku eneo la kuharibika linaongezeka. Naomba kufahamu sababu na suluhisho la hali kama hii. Nimeambatanisha picha ya hali...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa? Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla, basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa...
15 Reactions
64 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…