MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ( TARURA) kuhakikisha inafanya kila jitihada ya kutatua changamoto za Barabara korofi...
Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni...
Anahitajika fundi pikipiki mzuri mwenye uzoefu wakutengeza pikipiki aina zote
Location: makumbusho jirani na standi ya mabasi
Kwa aliye teyari tuwasiliane phone no 0693598467
Nb: asiwe...
Habari.
Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka.
Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza...
Kuna huu mradi wa Kigamboni wa nyumba unaoitwa Hamidu City kiukweli umenivutia sana kutokana na uzuri wa eneo na udogo wa bei?
Mbona hizi nyumba hazinunuliki na bei ni ndogo sana tangu...
Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi...
Wataalamu wa ujenzi, nimeweka tiles nyumbani kwangu,lakini baada ya miezi miwili kupita vinatokea hivi vitu.
Ni kama maji lakini ni mazito kiasi yanavutika,yakikauka yanaacha rangi nyeupe,hata...
Hapa naomba ieleweke ninamaanisha mafundi wa fani zote yani kushona, plumbing, visima, mapambo, umeme, selemara, rangi, ujenzi, bati n.k
Kuna ugumu gani kufanya kazi yako kwa uaminifu bila kuleta...
Nmeezeka nyumba yote lakini milango na madirisha naona bajeti yangu bado ndogo sana
Nipo na laki 8 mfukoni mawazo yananiambia nimalizie master bedroom nipige gypsum roof floor na plaster na Choon...
Habari wadau muhimu wa ujenzi.
Niko kwenye hatua za kupaua baada ya kupambana na boma. Sasa ombi langu ni kujua idadi ya mbao zitakazotumika kwenye mjengo wangu.
Nyumba ina urefu wa futi 37 na...
Habarini wadau.
Nimemaliza kuezeka ila kwa hizi mvua zikinyesha sana na ikiwa na upepo, kuna dalili ya matone ya mvua /maji naona yanadondoka kwa ndani. Japo mvua ikiwa sio ya upepo hio kitu...
- Habari wajenzi
Mwaka huu nimefeli kuanza ujenz(na kutizma lengo) lakn panapomajaliw mwakan Natumain jambo langu hii nitalifaniksha
Ujenz ni :- Nyumba ya vyuma 3 + /master bedroom na single...
SERIKALI KUFUGUA WILAYA YA RUNGWE KWA BARABARA ZA LAMI
Serikali imesema inaenda kumaliza kero ya wananchi wa wilaya ya Rungwe kwa kuikamilisha ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu (km...
Salamu, wapendwa,
Miaka imekuwa mingi sana sasa nimekuwa nikishi kwenye nyumba ya banda umiza sasa wakati wa kujenga nyumba angalau ya kueleweka umewadia.
Najua humu kuna mafundi professional na...
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.
Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya...