Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Uhakika wa nishati ya umeme katika nyumba ni jambo muhimu kila mmoja anafaham hilo; Tunajua namna gani nishati hii imekua sio ya uhakika wakati mwngne, kwa kuzngatia hilo nikupe wazo wakati...
12 Reactions
41 Replies
5K Views
Hi waheshimiwa Kwa mlio Mafinga trested timber 2x4 ni sh ngapi, 2x2 ni sh ngapi Na 1x6sh ngap 1x10 ni sh ngapi Naomba huo msaada mkuu ili nifanye maamuzi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta . Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4. Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara. So nilikua naomba...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Wazee nahitaji fremu haraka sana kwa ajili ya Ofisi. 1. Iwe na eneo mbele kwa ajili ya parking. Hilo eneo la parking isiwe eneo la barabara. Sehemu inayotosha hata gari ndogo 3. 2. Siyo lazima...
1 Reactions
1 Replies
379 Views
Habari za majukumu wakuu, mwenye ufahamu juu ya bei za jumla mbao mkoa wa iringa, 2x2,2x4,2x6,1x8
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
Hizi ni bati zenye muundo mzuri kweli. Zinakuja katika bei kubwa na last time i checked inatengenezwa Alaf anatengeneza gauge 28 tu. Vp wewe ungependele ununue design gani?
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari za muda wadau wa jukwaa,naomba kwa anaejua anisaidie namna ya resubmit vyeti vyangu kwenye ukurusa wa erb
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF, Heshima kwenu wakubwa zangu, mimi ni kijana umri miaka kadhaa naomba kupata ufafanuzi kuhusu hizi taasisi zinazouza viwanja ( realestate company's). Hivi ni kweli kuna watu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa nimeishi hapa mkoani Dodoma kwa muda wa miaka ishirini sasa(20),nilishuhudia usumbufu wa watu kufuatilia viwanja vyao na kupata hati.Nadhani kwa sasa inabidi mabadiliko makubwa sana!kwani...
2 Reactions
7 Replies
690 Views
Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika. Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali. Shukran za dhati za awali. Cc: Extrovert
1 Reactions
2 Replies
729 Views
Katika huu uzi ebu tujuzane baadhi ya changamoto na migogoro ya ardhi hasa mipaka na majirani au jirani uliyepakana nae katika kiwanja chako, Ilikuwaje na mgogoro uliisha vipi.
0 Reactions
2 Replies
439 Views
NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa...
1 Reactions
2 Replies
748 Views
Kwanza tunawapongeza wote mnaoendelea na ujenzi wa makazi. Kumiliki nyumba kuna heshima yake. Lakini hebu tuambieni, ratiba za kwenda site huwa zikoje? Mfano wewe unayejenga; site unaenda kila...
11 Reactions
192 Replies
25K Views
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note: Wawe Dar
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Wakuu habarin za kazi. Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja. Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wataalam wa ujenzi; Naomba nifahamishwe ni bati gani ambazo ni nzuri kuezekea lakini za kawaida yaani ukiachana na m-south?
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, Siku moja mida ya jioni nikiwa nimetulia nilistushwa na text ya whatsap, kucheki vizuri nikabaini ni mteja kutoka Instagram kwenye account yangu inayohusiana na ujenzi...
0 Reactions
4 Replies
617 Views
BARABARA KUU PEKEE YA MUSOMA VIJIJINI INAHITAJI KUWEKEWA LAMI: HAIJAPITIKA KIURAHISI KWA ZAIDI SIKU TANO (5) Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera (km 92) *Mvua zinazonyeesha wakati huu zinaleta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…