KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Tambo zimesikika wazi wazi. Tume imesema kwamba Wabunge wa Bunge hili la Katiba hawana uwezo wa kubadili rasimu iliyopo na kuja na rasimu ama katiba mpya. Hii ina maana vifungu vilivyomo ambavyo...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Ndugu zangu, Kwamba hata wajuu wakue wazikute kero za ndoa ya bibi na babu yao. Hapo kuna tatizo kubwa. Na tatizo hilo litakuwa ni la kimfumo. Tunapozungumzia suala la Muungano tunafanya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Warioba kafie mbele na shirikisho lako...
2 Reactions
118 Replies
10K Views
  • Closed
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba,amesema kuwa hana haja ya kumsikiliza Wakili Tundu A.M.Lissu tena kwakuwa sasa ametosheka na maelezo yake.Jaji Warioba alikuwa akizungumza...
9 Reactions
55 Replies
11K Views
Wadau mtakumbuka baada ya rasimu ya katiba kuwasilishwa kwa Mkulu, mmoja wa wapinzani wa kkatiba hii alikuwa ni Prof Shivji ambaye ni muumini wa muundo wa sasa wa Muungano. Binafsi nangojea nione...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
akizungumza juzi bungeni spika anayejiita kuwa ni spika wa viwango, aliwaambia wajumbe wa bunge kuwa ataawaalika watu watatu muhimu sana waliobaki wanaoufahamu muungano, baadaye imekuja...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Werema kila mara huwa ni mtu wa mwisho kuifundisha au hata kuipa CCM Tafsiri sahihi ya mambo.Leo imedhihirika tena.Sijui km huyu huyu jamaa wa kazi ya kichwa ni kutunza nywele km ataweza tusaidia...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Tangu kuundwa kwa bunge maalumu la katiba, kumekuwa na mvutano miongoni mwa wachambuzi wa masuala ya kisiasa, wanasiasa, wanaharakati na wanasheria juu ya madaraka ya bunge maalumu katika mjadala...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana JF, Kama mjuavyo serikali ipo mbioni kukusanya maoni ya kuandikwa kwa katiba Mpya ambapo hitaji hilo hasa litakuwa na mantiki ya kisiasa ikiwa itapatikana kabla ya mwaka 2015 kwenye Uchaguzi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za usiku wadau. Natumaini wengi wenu mmejikunyata kitandani huku mkiendelea kutafakari hali iliyojitokeza jana jioni. Taarifa iliyo rasmi ni kwamba Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya...
4 Reactions
70 Replies
6K Views
Warioba Kuchafua hali ya Hewa Bungeni Wadau, mtu akitonywa jambo ambalo lina maslahi ya kitaifa, ni vema akaliweka hadharani ili kupata tafakuri ya pamoja. Ni kwamba mdau wangu ambaye yupo...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Lazima tukubali kuwa Mustakabari wa katiba mpya upo mikononi mwa wabunge wa CCM. Wingi wao unatishia kila uamuzi unaotumia kura. Ndo mana wengine tunataka kura ya siri tukiamini kuwa kuna...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Mhe. Stephen Wassira akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema mvutano na mabishano ya wajumbe wa Bunge la Katiba ndio uimara wa chombo hicho ili kufikia maridhiano. Ameongeza kuwa kwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Sitta ajue bunge la sasa lina wanasheria mahiri Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samweli Sitta ameanza vibaya kazi yake siku ya kwanza kwa kukiuka kanuni za Bunge la katiba. Sitta alitangaza...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Nimeshuhudia wajumbe wa ccm katika bunge la katiba wakimsikiliza Jaji Warioba,wakiwa wamenuna na wengi wakionyesha nyuso za huzuni,kunyong'onyea na wengine wana hasira kweli.Ni dhahiri kuwa ccm...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Zitto amenukuliwa na gazeti la Mtanzania akipinga msimamo wa UKAWA na huku Mzee Mrema akiwa amekataa wazi wazi kujiunga na umoja huo. Zitto amekwisha kiasi hicho? Au kama kawaida yake anataka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapa dodoma baada ya Mzee Warioba kushindwa kuwasilisha rasimu ya katiba baada ya UKAWA kupinga ubabe wa Sitta kuvunja kanuni, sasa ccm imeanzisha propaganda kumtuhumu warioba. Wabunge wa ccm...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Mwanzo mbaya unamwisho mbaya. Sitta amedhihirisha kuwa hawezi kuliongoza bunge la katiba. Pamoja na kuwa ametengenezewa kanuni na watangulizi wake ambao waliongoza bunge la katiba vizuri bila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya jana jioni bunge la katiba kuingia katika hali ya sintofahamu iliyochangiwa pia na wabunge wa chadema,cuf na nccr- mageuzi leo asubuhi bunge litaendelea na shughuri zake kama inavyoonesha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ninaamini kuwa Wajmbe wote wa Bunge Maalum la Katiba ni watu makini. Ni watu wenye sifa mbalimbali za elimu,ujuzi na fani.Wanazo sifa za kuwafanya kuwepo Dodoma Bungeni. Kila Mjumbe anajua...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…