Wakuu, Mh. SS, pamoja na mambo mengine, amesema kutakuwa na Semina itakayoongozwa na wataalamu wa nje ya nchi yetu kwa wajumbe wa Bunge Maalum. Maswali yangu ni mengi kuliko majibu.
1...
Warioba ni mwanasheria mzoefu hapa nchini. Si mgeni wa kanuni bungeni. Kinachonitatiza ni kitendo cha yeye kwenda kuhutubia bunge ilhali akifahamu wazi kuwa kanuni zinamhitaji rais aanze na...
HIVI aribu karibuni wajumbe 629 wa Bunge Maalumu la Katiba. Wamejiweka kitanzi na kuagana na Mungu kutenda haki watakapopitia na kuiboresha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya iliyowasilishwa na...
Wadau wa katiba mpya!
Hapana hata chembe ya ubishi kuwa Mh Sitta hatamudu kuongoza bunge la katiba!
1.Ni mbabe sana
2.Amelewa sifa zizizo na maana
3.Ana busara ndogo sana pale mjumbe...
Wadau,
Habari za Jumatatu, siku njema, siku tulivu hapa Dodoma. Hali ya hewa ni nzuri kabisa kwa siku ya leo. Joto kwa sasa ni nyuzi joto 20 na kwa siku ya leo inatabiriwa kuwa kutakuwa na...
Kusema ukweli kilichotokea mjengoni jana sio siri wananchi wamehuzunishwa sana kumbe wale watu hawako kwa maslahi ya nchi hii kwa nini bunge katiba lisifutwe kabisa haina maana yoyote...
Page
1
of
4
BARUA YA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA) KWA
MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM, MHESHIMIWA SAMWEL J. SITTA,
KUHUSU UKIUKWAJI WA KANUNI ZA BUNGE MAALUM
Mheshimiwa Mwenyekiti,
Sisi ambao...
Kilichotokea jana saa 11 jioni kwenye kikao cha Bunge Maalum kiwe fundisho kwa M/Kiti na wengineo kwamba wajumbe wa Bunge hilo wasichakachuliwe kwa semina za kufua vifua n.k. na wala kwa hotuba ya...
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado...
Kwanza, namlaumu kwa kukiuka Kanuni za Bunge Maalum la Katiba ambazo zinataka Rais Kikwete aanze kulizindua Bunge hilo kabla ya Jaji Joseph Sinde Warioba kuwasilisha Bungeni humo Rasimu ya pili ya...
Tuliambiwa yeye ndiye mtu pekee mwenye viwango na uwezo wa kuendesha Bunge Maalum la Katiba.
Mitandao ikajaa sifa kemkem kuhusu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji enzi za...
Ndugu zangu wadau wana Jf na watanzania wenzangu
Kwa kinachoendelea Dodoma kama busara haikutumika, tutegemee wajumbe wa bunge la katiba wakifungasha virago na kuodoka zao bila kukamilisha...
Wabunge kumzomea m/k wa tume na kusababisha kutowasilishwa kwa rasimu kwa mujibu wa sheria ni kuvunja kiapo walichoapa kwamba watakuwa watiifu kwa jamhuri ya muungano, kwani warioba alisimama...
Wanajamvi
Mhe. Sita ameanza vibaya kwa kuanza kuvunja kanuni
Inayotaka Mhe Rais atangulie kwanza alizindue ndo lianze kazi ya
kwanza kupokea Rasimu na maelezo ya Mkit wa Tume. Akaanzisha...
Naona Bungeni kwachafuka. Baada ya Mhe. Jaji Warioba kupewa nafasi ya kwasilisha Rasimu ya Katiba Wahe. Wabunge wameendelea kupiga kelele, kugonga gonga meza na hivyo kukawa hakuna amani na...
Leo saa kumi na moja jioni mzee Joseph Sinde Warioba, jaji, anawasilisha (kihutuba) rasimu ya katiba mpya kama ilivopendekezwa na wananchi wengi wa Tanzania. Nakuomba Mwenyezi Mungu umpe moyo wa...
Bwana Ole sendeka, naomba nikukumbushe haya:
1. Nyerere sio msahafu and he will never be!!!. All men are fallible, no man is infallible. Nyerere also falls within this famous philosophical...
- Nimeshitushwa sana na habari kwamba kesho Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu ya Katiba, atapewa Dakika 60 kuzungumza bungeni kuhusiana na Rasimu ya Katiba, so I am like daamn hivi tume itaisha lini it...