KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kuruhusu serikali tatu zenye marais watatu kama ilivyoainishwa kwenye Rasimu ya Katiba, kimantiki ni kuruhusu mchakato wenye mtifuano wa kuvunja muungano. Rasimu ya Katiba inayopendekeza serikali...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wajumbe wa bunge maalumu la katiba wameanza leo kula kiapo cha uaminifu na sehemu ya mwisho ya kiapo hicho inasema, "... nitafanya kazi zinazonihusu bila upendeleo..." Swali ni je, hawa...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Muheshimiwa Samwel Sita ambaye ndiye mwenyekiti wa bunge la katiba leo kaanza kazi rasmi na ameshakaa kwenye kiti baada ya kuachiwa na aliyekua mwenyekiti wa muda ndugu Ameir Pandu Kificho...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana katika kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kura 7 ziliharibika! Leo pia zimeharibika kura 7 katika zoezi la kumchagua makamu mwenyekiti! Inaelekea ni wale wale walioharibu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kutokana na maelezo ya Mh. Sitta kura za siri au wazi zitatumika na BMK ktk maamuzi kutegemea na uzito wa jambo lenyewe. Kura za siri zinaweza mchagua MTU au kutolea maamuzi ISSUE.Kura za siri...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Mpaka sasa MH Sitta ameshaweka wazi kuwa masuala nyeti yatahusu kura ya siri, chadema walikuwa wakitetea kura ya siri. Mimi nasema serikali mbili zikipita kwa kura ya siri nahama chadema kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. " A good constitution cannot alone make a nations happiness, A bad one can alone make its unhappiness" Guy Carcassonne 2. " Constitutions are intended to preserve practical and...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Michakato ya katiba mpya na vazi la taifa yote inaongozwa na serikali ya CCM. Tumeona ule wa vazi la taifa pamoja na kutumia mamia ya mamilioni ya wapiga kura, ulikufa kibudu. Nilishasema tena...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Kwa siku nimemsikia Chenge ktk bunge la jamhuri na la Katiba.Nimeona kuwa pamoja na mambo mengine ni kwamba Chenge hawezi kabis ajieleza kwa lugha yoyote ya kitaifa. Sijui kisukuma.Ila kiswahili...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mara tu bada ya kupata ushindi wa kishindo kwenye kinyanganyiro cha kihistoria cha Uenyekiti wa BMK, Mh. Mzee Sitta akitoa hotuba ya shukrani alisema atawashughulikia wanaopinga Muungano. Leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa makubaliano yaliyo fikiwa wakati wa kupitisha kanuni juu ya nafasi ya mwenyekiti na makamu mkiti ni kwamba 'vigezo' vikuu ni pande mbili za muungano na jinsia! Mimi ninadhani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watanzania walio wengi tulitegemea wajumbe walioko katika bunge la katiba ni watu makini na wenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Katika hali isiyo ya kawaida jana wakati wa kupiga kura ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi Mh. Samweli Sita karudi kwenye nyadhifa kama aliyokuwa nayo msimu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne, akiwa kama Spika wa bunge. Tofauti ipo kwani sasa ni Mwenyekiti wa Bunge Maalumu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mpooooo? Kama kawaida nianze kwa kuwatakia kila la kheri na shughuli zenu za kila siku na nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya njema siku ya leo. Wale wagonjwa kama kawaida yetu...
6 Reactions
299 Replies
24K Views
HOJA MAALUM MCHAKATO WA KATIBA MPYA USITISHWE (ILI UANZE UPYA KWA USAHIHI) Waheshimiwa Wajumbe, huu ni ushauri wa kizalendo kwa wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kwamba mchakato mzima...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZILIUNGANA ILI IWE TANZANIA, sasa haya yafuatayo yanaashiria hivyo? Kitendo cha TANGANYIKA kuungana na ZANZIBAR; Tanganyika haina vitu vifuatavyo; 1. TANGANYIKA HAINA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sitta sasa anakazi ya ziada kuhakikisha kwamba haangukii upande wa chama cha CCM kwani nakumbuka wakati ule alipobwagwa chini na kupitishwa makamu wake wakati ule kisa ni uwazi na ukweli wake wa...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Wakuu nimeshuhudia mavazi bunge la katiba ni ya ovyo ovyo upande wa wanawake, wengi wamevalia suruali za kubana na kuwachora maumbo yao, Nakumbuka jana Mwenyekiti wa muda alieleza hili swala la...
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Ningependa kuliza kwamba wajumbe wepi waliochukua form kwa ajili ya kuwania makam uwenyekiti wa bunge maluumu la katiba mpya. anaejua anijuze
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…