KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Bunge Maalum la Katiba limegeuka kituko. Bungeni kuna kelele,ubabe,misimamo na zomeazomea. Bunge halifanyi linachotakiwa kufanya.Linafanya kinume na matarajio ya watanzania. Kila mmoja wetu aweza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu tunapozungumzia utaifa hembu tuweke ushabiki wa vyama pembeni na kuuvaa uzalendo jamani siku zoote mbinguni na duniani inajulikana chaguzi salama na zahaki huwa zinafanyika kwa siri...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Prof Costa Mahalu, Chairman of the technical committee The technical and consensus committees of the Constituent Assembly (CA) have again failed to resolve the tricky sections of the standing...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
WanaJF, mnisamehe kama hili suala limeshaulizwa na kupatiwa ufumbuzi kwani kwa upande wangu katika kupitia humu sijaiona! Nauliza hivi, kama Bunge maalumu la Katiba litapitisha katiba mpya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi namshauri ndugu zitto agombee nafasi ya uspika wa bunge maalum la katiba ili ajipime kama ana ushawishi wa kugombea urais mwakani kama alivyo tia nia katika majukwaa,lakini pia atakua...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Swali kwa Wanaotaka Kura ya Siri: Hoja kubwa inayotolewa na wale wanaotaka kura ya siri kwenye Bunge la Katiba ni kuwa hawataki watu wajioneshe wanapigia kura wapi kwa sababu inawapa shinikizo...
1 Reactions
9 Replies
978 Views
Ni maswali mengi sana kuhusu mchakato huu wa katiba unaoendelea ambayo yananichanganya lakini leo naomba kuanza na wanaopendekeza serikali tatu wanisaidie kujibu baadhi ya maswali plz: 1...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jusa ambaye alipewa nafasi ya kipekee na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Pandu Kificho kutoa mchango wake kuunga mkono hoja ya Rasmi ya Kanuni alisema; Kwa namna ya pekee...
11 Reactions
35 Replies
4K Views
Wadau, amani iwe nanyi. Kama kawaida yetu tutaendelea kuwaletea mtiririko wa mijadala Bungeni Dodoma. Kwa sasa Bunge lipo kwenye mchakato wa kukamilisha kupitisha vifungu vya Kanuni za Bunge...
11 Reactions
681 Replies
58K Views
Wa Tanzania wenzangu, Sipendi kuamini hata kidogo, kwa mamlaka aliyopewa Sipika wa muda kuongoza hili bunge katika kuunda kanuni anashindwa kutumia mamlaka aliyo nayo. Nguvu ya kiti cha bunge ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwenye inchi liyotarabika na kwa nafasi walizonazo wa wajumbe wa bunge la katiba sikutegemea lugha na kauli zinazotolewa kwa sasa ! linavyoendelea tunaweza kushuhudia mapingano au kung'oana...
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Nilisikiliza mjadala TBC juzi ,ukiendeshwa na shaaban Kisu na wageni wakiwa Serukamba na Shibuda..nilichogundua ni kwamba Serukamba, hana taswira ya serikali 3, alichokua akiongea huku akionekana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimechoka kustahamili na kauli zako Christopher ole -Sendeka na kikundi chako chenye mtizamo kama wako hivi karibuni uli tamka na kusema Zanzibari ni lazima tu wa Restrain pamoja na huo Uisilamu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wajumbe, Siungi mkono hoja ya katiba mpya kugeuzwa kama hoja ya ccm au chadema mana Katiba mpya ni kwa ajili ya nchi nzima na sio kichama na sio Chama kimoja kiwashawish watu wachague...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Ndivyo nilivyomsikia mwenyekiti wa kamati hiyo ya Siri na Uwazi katika taarifa ya habari akisema pande zote 2 zimetoa hoja za msingi na za kidemokrasia na kushindwa kutoa maamuzi na Usiri huo na...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wajumbe wawili wa Bunge Maalum la Katiba, ambao ni wabunge wa CCM, Abdul Marombwa (Kibiti) na Christopher Ole Sendeka (Simanjiro) kwa nyakati tofauti wamempongeza Tundu Lissu, kwa kujibu maswali...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwako Mbunge wa Simanjiro. Nakusalimu sana kwa Jina la Yesu Kristu na Mwokozi wetu. Nimeamua kukuandikia ukiwa hapo Dodoma kwenye Bunge la Katiba baada ya kusikia habari za kusikitisha na kuudhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapimzani wanaburuzwa na mwenyekiti wa Bunge pamoja na wana-CCM kwasababu wameonyesha udhaifu mkubwa!Kila siku mnaburuzwa na nyie mpo tu bila kuchukua hatua zozote. Nawaonya msipobadilika na kuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Aliyasema hao Mhe Steven Wassira katika kipindi cha Jambo cha TBC kwamba kinataka kufichwa nini wakati wananchi, jamii au kundi unaowawakilisha wana haki ya kufahamu kuwa walichotutuma ndicho...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Mambo mengine yanashangaza na mengine yanachukiza. Wapo watu miongoni mwetu ambao wanakasarishwa na wengine wanakerwa kwelikweli kuona CCM inatumia wingi wake Bunge la Katiba kushinikiza misimamo...
17 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…