KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kuweka kando tofauti za kisiasa na kuunganisha nguvu zao, hasa katika kipindi hiki ambacho taifa lipo katika mchakato wa uundaji wa Katiba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana kikwete ametua dodoma eti kuongeza jitihada Za kufikia maafikiano kura iwe ya Siri au ya wazi. Kama kweli hawa wanasiasa waliouchukua huu mchakato kama ni wao wana utimamu wa akili hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KWA NINI SERIKALI 2 HAZIEPUKIKI?: Uchumi Zanzibar unategemea Bara --------------------------------------------------------- Sehemu ya mji wa Zanzibar WAKATI Bunge Maalum la Katiba likisuasua...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Waheshimiwa sana katika bwana. Katika historia ya Muungano wa cnhi ya tanganyika na nchi ya Zanzibar, dhumuni na lengo la waliosaidia kuwa na muungano ilikuwa kuwa na serikali moja tu kwa maana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninakerwa na hii kauli "WATANZANIA TUJIANDAE KISAIKOLOJIA", kupitia majukwaa mbali2 kuhusu katiba, wapo baadh ya viongozi wa serikal na chama(hasa chama X) wamesikika wakitamka kauli hiyo ambayo...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Wakuu, Mtakubaliana nami kua Mpaka sasa kwa Hizi Week 3 Ambazo Bunge Maalumu la Katiba limetumia,ni Zaidi ya Bilion 3 kwa Posho Pekee zimetumika achilia Gharama nyingine Zisizo rasimi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa ushauri wangu wabunge wasipoteze muda sana kuchagua kati ya siri na wazi. Kanuni ziruhusu kwa wale wanaotaka kupiga kura wazi waruhusiwe, na wale wanaotaka kupiga kwa siri waruhusiwe. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Ndugu wanajamii katika kipindi cha TBC leo asubuhi,Shibuda na Serukambwa wanasisitiza kwamba,serikali mbili ndizo zinazotufaa kwa kuwa sisi ni wamoja hasa kwa jinsi mahusiano yetu yalivyoingiliana...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanini simpendi mbunge huyu wa Bunge la Katiba? KWA kuwa wiki iliyopita niliahidi kuendelea na makala iliyochapishwa katika safu hii ya Dokezo la Wadau na kwa kuwa, siwezi kuendelea na...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
ccm wanataka kura ya wazi ili kuona watakaowasaliti kwenye kutounga mkono serikali 2 ila kaeni mkijua mda wa kutishana umepita...kama mnapingana na MAJIRA NA NYAKATI tutawaona...kumbe ndo mana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais, Dr. Mohamed Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma Rais...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajumbe feki wa bunge la katiba. 1. Kingunge Ngombale Mwiru - ameteuliwa kupitia NGO wakati hana sifa hizo 2. Elizabeth Minde - ni kiongozi kwenye jumuiya ya CCM mkoani Kilimanjaro 3. Evod...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Kabla ya kuwasilisha hoja yangu, naomba ieleweke wazi kwamba ninao uhuru kutumia wahusika hai, waliohaishwa au waliohuishwa ktk kuwasilisha hoja yangu. Hili ni suala ambalo linakubalika kisarufi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani naomba kujua huyu Mtu anaitwa ole Sendeka imekuaje anatajwa sana ktk mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Na kutajwa kwake ni juu ya kauli na matendo yake tata ktk kuamua mambo kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo sasa kwenye bunge maalumu la katiba kura ya wazi inayopigiwa chapuo na ccm ina hila ndani yake na nimkakati wa kuhakikisha maslahi ya ccm yanapita. Hivyo kura ya wazi ni...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Nimepata faraja baada ya kuambiwa kuwa habari ndani ya CCM si shwari tena huko DODOMA ,wengi wa wabunge wa CCM walitaka kura iwe ya siri ,lakini kutokana na nguvu za wakubwa ambao ni vigogo wa CCM...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Pamoja na kuwa mie si expert wa political science, lakini, kile kidogo ninachokijua naweza kuchangia nanyi. Katika kusoma kwangu Political Science nimesoma pia kwa uchache...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu, ni katika maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo katika mkoa wa dodoma yamefanyika kwny ukumbi wa Mwl NYERERE(chuo cha mipango), Dr LWAITAMA amesisitiza...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Machi 6 niliandika mtazamo wangu juu ya namna ya kwenda mbele kwenye Bunge Maalum la Katiba. Maana, zilishaonekana ishara mbaya, kuwa tuliowatuma Dodoma wako katika hatari ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Uamuzi wa jinsi ya kupiga kura umekuwa ni mgumu kwa sababu wabunge wa CCM hawana hakika kama njama zao zitapita. Kwa maana nyingine, pamoja na kukubaliana kwa ujumla, ni unafiki tu ndo umekuwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…