Akizungumza katika kipindi cha hotmix kinachorushwa na EATV, DK SLAA AMESEMA SUALA LA SERIKALI TATU SI LA CHADEMA BALI NI LA TUME YA WARIOBA. Amesema kuwa wanaotaka serikali mbili ni sawa na...
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri.Habari kutoka...
Ndugu wana Jamii. Nchi hii wanawake wamekuwa wakipiga kelele sana kudai haki zao. Kuna wakati viongozi wanawasikia lakini huwapa haki zao kama fadhira.
Tumeshuhudia wakipewa fadhila ya viti...
jana nilikua mmoja kati ya wajumbe walioshiriki uzinduzi wa rasimu ya pili ya katiba ya tanzania uliofanyika chuo cha mipango dodoma tarehe 8.03.2014. Chakushangaza kilichofanyika ni kusikiliza...
Jamani wana JF naomba mnisaidie hivi kweli hawa wenzetu huko bungeni wako serious na kupata katiba mpya kwani mpaka sasa ni mabishano tu utadhani kuna wahuni kumbe ni watu wazima wenye busara but...
kulingana na suala zima la mchakato wa katiba mpya unavyoendelea na vituko vya kila siku bungeni hasa kutupiana maneno na kuvunja sheria za bunge..je kuitwa na kuingizwa kwenye kamati ya...
Wadau kwa mujibu wa sheria bunge maalum la katiba halijaanza kwa hiyo wananchi muwe na subira.hapa wanajitengenezea kanuni na hata kama zitatumika siku 70 tena.
Waungwana heshima ziwafikie kote mlipo...
Utangalizi:
Jana tarehe 8/March/2014, Bunge la katiba kwa kauli zenye mchanganyiko wa NDIYO na HAPANA, limepitisha Kanuni ya 36 inayohusu Upitishaji wa...
Muhariri wetu Joseph Mihangwa
KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, tuliona misingi mikuu inayopaswa kufuatwa katika kutunga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzingatia na kuongozwa...
Nimeona picha ya wajumbe wa katiba wakiwa kwenye foleni wakisubiria posho zao. Kwa kweli inatia aibu katika nchi yetu na hasa serikali yetu ni jinsi gani bado tuko nyuma katika ulimwengu wa...
Wadau,
Baada ya kuwawakilisha vema siku ya jana tarehe 7.3.2014, leo tutaendelea kuwajuza yatakayojiri Dodoma kwenye semina ya Bunge Maalum. Kazi kubwa ya leo ni upitishwaji wa vile vifungu vya...
Ndugu Wananchi,
CCM haitaki serikali tatu, inataka mbili. Lakini hawajui hiyo mbili waikarabatije ili ikubalike. Ni hivi. CCM wapo kwenye mtego mkubwa kabisa kuwahi kutokea katika historia yao...
Tumezoea kuwa Wabunge wetu wa Bunge la Muungano na Wawakilishi wanahudhuria vikao kwa vazi rasmi la suti.
Vipi bunge hili suala la mavazi likoje au litakuwaje?
Yaonekana kwa kiasi kikubwa makundi mbalimbali waliochaguliwa na JK haisikiki kabisa. Hii ni kutokana na dominance na uzoefu wa u-ccm na kambi upinzani. Sasa maoni ya watasema lini kama wao...
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila, amewaacha hoi wajumbe wenzake pale alipotaka kanuni zisiwabane kuwasema vibaya waasisi wa Muungano.
Kanuni ya 47 ya rasimu za...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki iliyopita.
Chama...
KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA mwenyekiti alimteua mwakilishi wa walimu katika bunge la katba kwenda kuwakilisha msibani kwa mh sofia simba. wakati akiteuliwa wajumbe walipiga kelele ikionekana alikuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,amekemea vikali tabia ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba,kuzomeana.
Mbowe alisema kwa hali ilipofikia, kuna...
LICHA ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutangaza msimamo wa kukataa serikali tatu, Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, amewataka wake wajiandae kisaikolojia kwa mabadiliko yoyote...