Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana ya kuwepo na mjadala. 'Caucus' za vyama kwenye kazi nyeti kama ya...
JANA watanzania pamoja na dunia nzima iliona
jinsi ambavyo,mchakato wa kumtafuta Mwenyekiti
wa muda katika Bunge maalum ya katiba
mpya,ikiwa ni kikao cha kwanza,tangu mchakato
wa Tanzania...
Licha ya watanzania kulalamikia matumizi
mabaya ya fedha za umma kupitia bunge la
katiba ambako kila mjumbe analamba sh
300,000 kwa siku hivyo kumaliza bunge akiwa na
sh milioni 21.Lakini leo...
Heshima kwenu.
Nimejaribu kufutilia midahadala mabalimbali kwenye tv,radio,magazeti kuhusiana na katiba mpya.sijasikia wakijadili jambo lingine zaidi ya muundo wa serekali.
Hata wanasiasa...
Ushauri wangu kwa Bunge la Katiba ni kuwa mambo ya serikali 1,2,3,4 yasubiri hadi baada ya katiba mpya kupatikana. Hii ni kwa sababu zifuatazo:
1. Kwenye hadidu rejea kwa Tume ya Waryoba suala...
Itakuwa si haki kwa serikali na TBC yetu, mali yetu tunayoilipia kodi kutokurusha bunge letu la kutunga katiba yetu (Wananchi). Katiba ni mali yetu si mali ya Serikali, CCM, CHADEMA, CUF, NCCR na...
Habari zenu wana jf,napenda tuelimishe watz wenzetu kuhusu jina halisi la hawa wadau wanaojadili rasimu ya pili ya katiba ya tanzania,ni jina lipi ambalo wanaitwa,mana nikipitia vyombo vingi vya...
Kwa kweli haya ni maajabu ya wasomi wa TAnzania eti ndiyo wana kumbuka shuka sasa baada ya Rasimu ya pili kutoka na tayari bunge la katiba liko kikaoni wao ndiyo wana kujadili Muundo wa serikali...
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua...
Baada ya maajabu ya jana kuwafikia wananchi moja kwa moja na haswa lilipozuka suala la kura kutofautiana na idadi ,leokuna karatasi za rasimu za kanuni ziligawiwa ,ajabu karatasi hizo hazikutosha...
Tukielekea kwenye kuunda katiba mpya ya jamhuri wa muungano pamekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu aina ya muungano, kuna watu wanaotaka serikali 1, 2 au 3 na kuna vyama tayari vimetoa misimamo...
Bunge la katiba, limeanza kukaa kujadili kile ambacho watanzania wengi wanakisubiri kuwezaa kujua hatima ya nchi yetu. Wabunge wa bunge hili wabemba au wamebebeshwa kazi kubwa saana, ambayo busara...
Wakati nipotambua kwamba Rais JK amemteua huyu babu kingunge kwenye bunge la katiba hakika nilishangaa sana. Mshangao wangu ulitokana na kurudisha kumbukumbu zangu nyuma kidogo wakat JK...
wanavyojua mimi bunge la katiba litakwenda kujadili yaliyo ndani ya rasimu tu! Na sio yasiyokuwemo. Swali langu hapa ndugu zangu ni sehemu gani ndani ya rasimu ya imeandikwa serikali mbili?
Najua wengi tutakuwa tumefuatilia yaliyojili ndani ya bunge la katiba.
Imekuwa ni siku moja tu lakini nimejionea mengi kutoka kwa wajumbe wateule.
1. MAHUDHURIO
Bunge lilianza kwa kuwepo viti...
Nadhani uwepo wa JF members katika Bunge maalum la katiba kunawapa jukumu la lutujulisha kila kinachoendelea sisi tulioko nje, vinginevyo kuanzishwa kwa sub forum hii ya KATIBA MPYA kutakuwa...
Enyi wawakilishi wa bunge la katiba mpya tuweke dhana potofu za uchama chini tujadili katiba kwa maslahi ya Tanzania. Laana itakupata wewe kwasababu utakachopitisha batili leo kitatumiwa na...
Bunge maalum la katiba linaloanza wiki hii mjini Dodoma ni muendelezo wa harakati za kupata katiba mpya itakayokuwa msingi kwa kizazi cha leo na kijacho kwa takriban miaka 50 ijayo.. Wito wetu...