Kwa muda sasa tangu Jaji warioba akabidhi rasimu ya pili ya katiba ya muungano kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uwepo wa serikali mbili, tatu au moja.
Kila upande umekuwa ukivutia upande wake...
Msimamo wa CCM wa kutaka srikali mbili unatarajiwa kuibua mtifuano mkali sana siku chache zijazo.
Msimamo wa CCM unatariajia kupata upinzani mkubwa sana ndani na nje ya bunge kutoka katika timu...
1.SHERIA ZISIWE ZINATUNGWA NA WABUNGE ZIWE ZINATUNGA NA WANASHERIA WALIO BOBEA KATIKA SHERIA.
2. WAHITIMU WA VYUO, SERIKALI IWE NA UTARATIBU WA KUWATAFUTIA AJIRA! Ni...
Wanabodi!
Nikiwa kama raia mzawa wa Taifa hili ninaguswa moja kwa moja na ninafrahishwa na jinsi mchakato mzima ulivyoendeshwa achilia mbali mizengwe na uzandiki uliofanywa na ambao bado...
Na Jabiri Omari Makame.
Mchakato wa katiba mpya ni fursa adhimu na tunu kwa watanzania kuamua aina ya taifa tunalotaka kulijenga kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 ijayo. Ni kufanya maamuzi juu...
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, katika mahojiano yake na gazeti la Raia Mwema, toleo la 209 la Agosti 26,2011, alinukuliwa akisema
Suala la Muungano pia liwe katika...
Swala la serikali 3 kwa mtazamo wangu lingejadiliwa miaka 50 iliyopita wakati waasisi wa muungano walipokutana kwaajili ya kuunganisha zanzibar na tanganyika.
Lilishajadiliwa na kwa busara zao...
Habari wadau,
Mimi naomba kuuliza hivi hawa wana -CCM wanapata wapi kiburi na uhalali wa kusema serikali mbili ndio mfumo sahihi na unaoukabilika na watanzania wengi?
Labda niullize ni lini...
Toa mchango wako je mfumo unafaa ni wa serikali moja, mbili, tatu au za majimbo?
Serikali moja itapunguza gharama Zanzibar na pemba kuwa mikoa au katiba iseme ili sehemu kuwa mkoa lazima iwe na...
Watu wanaropoka sana kwamba eti wao wamepoteza utaifa wao wa Tanganyika ila hawakupiga kelele wanahoji kwanini sisi hatutaki kuwa na serikali moja tu ya JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA
JIBU NI...
Hivi katiba nzuri ni ipi, ile yenye maslahi kwa wananchi au ile ambayo wengi wanaitaka!? Wakati mwingine naona tunachanganya sana kati ya ubora na wingi wa watu katika kuunga katiba hii? Alafu...
A.erikali Moja (yaani serikali ya Tanzania. Hapa hakuna cha Zanzibar wala Taganyika)
B.Serikali Mbili ( Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuli ya Muungano ya Tanzania; Hapa...
Rasimu ya pili ya Katiba imetoka hivi karibuni ikipendekeza Muungano wa Serikali tatu Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Tanganyika.
Mjadala wake...
Written by Ashakh (Kiongozi) // 13/01/2014 // Habari // 3 Comments
MWENYEKITI msaidizi wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Augustino Ramadhan, amesema tume hiyo ililazimika kuweka...
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa
wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar
na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni
mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo
uliowezesha...
Rasimu ya Pili ya Katiba imetaja sikukuu za kitaifa

Mapinduzi ya Zanzibar

Uhuru wa Tanganyika

sikukuu nyingine zitakazoainishwa na sheria

hapa Rais...