KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Nawashangaa wanaopiga kelele kuhusu mapendekezo ya SERIKALI TATU! Bila hata kuangalia sababu zingine ,ni wazi Katiba ya Zanzibar inayotambua Zanzibar kama nchi ndio msingi mkubwa wa mapendekezo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Rasimu ya pili ya katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania imechukua mambo saba ya muungano. kati ya hayo ni mambo ya nje, ambalo wazanzibari wanapigania mamlaka kamili na nje na ndani, katika...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
mimi kama mtanganyika naitaka tanganyika yangu. my motherland. nataka japo jina tu. hata kama kila kitu kitabaki kilekile. ya zanzibar watasema wazanzibari wenyewe. lakini kwa mujibu wa kabrasha...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania akiwahutubia mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, Kawambia kuwa kufikia mwezi May wananchi watapiga kura ya maoni sasa najiuliza hivi ni kweli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanganyika ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyojipatatia uhuru wake mwanzoni mwa miaka ya 1960, kwa sababu ambozo hazijulikani taifa hili lilipotea tangu mwaka 1964, shukuruni zangu za pekee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rasimu imemuona kua anahitaji kupunguza uzito
1 Reactions
0 Replies
796 Views
Ni Furahi Daya WanaJF!! chonde chonde naomba sana wale watakaoteuliwa kuunda Bunge la Katiba wazingatie vigezo vya mtu kuwa diwani at least isipungue Diploma na Mwenyekiti wa Halamashauri lazima...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzee Warioba amesema zipo shutuma kwamba Tanganyika ilijivua na kuvaa koti jipya la muungano ambalo hapana shaka Tanzania bara kuonekana kufaidi matunda ya muungano kuliko Wazanzibari hata...
0 Reactions
129 Replies
11K Views
Katiba ijayo itatoa hili tatizo. Kwani kutakuwepo na kipengele cha ukomo wa Ubunge. Kuna Wabunge umri umekwenda kweli lakini hawataki kuachia kiti cha Ubunge. Mtu kawa mpaka Babu na wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ifuatayo ni Nukuu kutoka kwa Rais wa Kwanza wa Tanzania, Urithi wa kizazi na kizazi Cha Watanzania, Marehemu Julius Kambarage Nyerere, akihusia jambo juu ya aina ya Muungano, kuulinda na...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimeangalia rasimu ya pili ya katiba mpya sijaona popote pale walipozungumzia swala la umiliki wa ardhi. Binasfi ninalichukulia swala la umiliki wa ardhi kama ishu muhimu ambayo ilitakiwa...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa uoni wa tume, tuwe na jamhuri tatu kumaliza fitna. Tumejiandaa kuziendesha kwa vyama tofauti? Mathalani Zanzibar - CUF, Tanganyika - CDM na Muungano - CCM
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Draft ya katiba imetoka na tumeshapata ya kiswahili. Mwenye ile ya kiingereza atusaidie kutuwekea humu jamvini!! Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa katiba hii ya warioba na kundi lake la ccm wazanibar hatutaikubali abadan imekuja kufanya serekalii moja kimtindo tunasema mawili muungano kuvunjika au mambo ya nje uriaya na uhamiaji na benki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJf Salaam?? naomba kujua maana mie sio mtaalamu wa katiba. Leo rais wa Jamhuri katangaza uteuzi wa mkuu mpya wa Jeshi la Police pamoja na naibu wake. swali langu ametumia katiba gani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Inavyoelekea katiba ya tanzania itakamilika kabla ya ya tanganyika. Si ilibidi katiba ya tanganyika na zanzibar ziwe na vipengele vya kuukubali muungano kwanza halafu muungano ndio ufuate.? Au?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni lazima wakati huu wa kuandaa katiba mpya watanzaniatutambue kuwa bunge ndio kiini cha mabadiliko katika utendaji wa serikaliitakayokuja baada ya katiba mpya. Ni wakati sasa wa kutengeneza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unajua ninashangwazwa sana kwa namna rasimu hii inavyompa majukum mengi raisi,ufanisi mzuri wa utendaji ni mgawanyo wa kazi kwa watu mbalimbali kuna ulazima gani wa kuchagua uongozi mkubwa alafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika rasimu ya pili ya katiba ya nchi kuna kipengele kimeandikwa kwamba RAIS wa jamhuri ya muungano asijihusishe na chama cha siasa,swali ni kwamba itawezekanaje kutojihusisha na siasa na wakati...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
rasimu yakatiba hata kama ingekuwa na maneno mazuri kiasi gani kama imeshindwa kuwekamsingi mzuri wa usimamiaji wa katika yenyewe na vyombo na shughuli za vyombohivyo basi katiba hiyo inakuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…