KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Ataja vifungu sita vilichomekwa Serikali imekiri kuwa vifungu sita katika muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba vilivyoongezwa na kuwasilishwa katika Bunge la Jamhuri ya...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
USULI: Suala la katiba lilitolewa tahadhari nyingi kabla ya kuanza. Tulionya nia mbaya iliyokuwepo tukizingatia CCM haikuwa tayari kwa mabadiliko. Tukaonya hoja kutekwa nyara na serikali...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Wana JF, greetings to you all. I have been following the current situation in the country and to be precise on matters going around the new constitution and more specifically on the type of the...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Naomba nianze kwa kusema hivi (unapodai haki kwa kuvunja haki za wengine unaweza kupoteza hata hiyo haki unayoidai) kazi ya bunge ni kutunga sheria lakini wabunge ndio wamekua wa kwanza kuvunja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kwenye The Citizen la leo kuna makala ndefu ya Bernard Mapalala. Huyu ni Kaka na mwafamilia mwenzangu kwenye tasnia ya habari. Mapalala ameanza kujenga hoja yake kwa kuiwekea...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Jeshi la polisi halitakiwi kuhusishwa na siasa,Tanzania tumeliunganisha jeshi la polisi kisiasa kwa namna moja au nyingine,Kisheria wakuu wa mikoa na wa wilaya wao c watendaji bali wao ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika maandiko ya Biblia neno Tohara limetumika sio kama tendo la kukata sehemu za baadhi ya viungo vya mwili,ila limetumika kuonyesha uwezo wa akili ya mtu! Biblia inasema kutahiriwa au kuto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona kwenye taarifa za ITV Viwanda vya ndani na mawakala wa saruji wanapiga mayowe soko limeingiliwa na saruji toka nje. Wanasingizia ya nje inakwepa kodi. Kwani wawekezaji wao si wageni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa. Viongozi zungumzeni Kwa takribani wiki tatu sasa kumekuwa na sintofahamu kuhusu muswada wa sheria uliopitishwa na Bunge ili kufanya marekebisho ya sheria ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nikiwa kama kijana (21) na ni Mtanzania napenda kuchukua fursa hii kuzungumzia katiba.Kwa wale wenye upeo watakubaliana nami kuwa nchi yetu ipo njia panda kuelekea katika machafuko ya...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Chikawe amesema haya kwenye mkutano wa wanasheria Dodoma.Anasema yeye haoni tatizo lolote katika mswada uliopitishwa wa kuunda bunge maalumu la katiba na kwamba siyo lazima kukubaliana na kila...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
sasa serikali imekiri kuwa rasimu ya katiba baadhi ya vipengele havikujadiliwa huko zanzibar ila nitatizo dogo sana halina haja ya kuleta mtafaruku/mkanganyiko.. source : RFA
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Muungano wa serikali mbili (muungano na Zan.) bila ya kuwepo kwa Tanganyika ni vigumu kukubalika hasa kwa watu wenye akili njema. Nadhani hata Nyerere hakumaanisha serikali mbili, haikuwa mwisho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MKUTANO WA HADHARA WA CUF VIWANJA VYA KIBANDA MAITI. Katibu Mkuu wa CUF ambae pia ni Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim. Seif Sharif Hamadi akiwatubia wananchi katika mkutano wa hadhara...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wanaokumbuka, Kenya ilikuwa na mchakato wa katiba kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2002. KANU wakitumia wingi wao bungeni walilazimisha kuandikwa kwa rasimu mbovu ambayo ilipingwa na vyama vyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TUME ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba, sasa inasuburi uamuzi wa mwisho wa serikali kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Katika hili swalala katiba mpya ungepewa nafasi ya kumshauri Rais,unagemshauri achague nini na unadhani ni rahisi kutekeza ushauri wako?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari KATIBA MPYA Mwandishi Wetu Toleo la 317 25 Sep 2013 Profesa Baregu, Kabudi, Butiku wawasha moto TUME ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Katika hali ambayo sikutarajia nimemsikia Lipumkba akitamka Peopleees, neno linalotumiwa na CHADEMA. It is a good progressAskofu Zachary Kakobe atokea Jangwani kuungana na watanzania wengine...
5 Reactions
328 Replies
27K Views
Tutumie Muda kiduuchu huu kabla ya 2014 Kuunda TUME Huru ya Uchaguzi. Mambo haya ya KATIBA Na Muungano tutatoana Damu watanzania ivi-ivi. Tunahitaji kujenga KATIBA Kwa mustakabali wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…