Jinsi mwenendo wa Katiba mpya unavyoenda, kuna uwezekano ikachelewa kukamilika na kuundwa kwa tume huru kwa ajili ya Uchaguzi wa 2015!!!!
Mbaya zaidi, Tanzania inakabiliwa na matatizo makubwa...
MOTO WA MSWADA WA KATIBA WAHAMIA VISIWANI ZANZIBAR
Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, kujiuzulu wadhifa huo kwa...
Kupinga Serikali tatu ni kusaliti Muungano asilia by Mihangwa.
Mara baada ya kusoma makala ya Joseph Mihangwa inayosema "Kupinga kupinga serikali tatu ni kusaliti muungano" sehemu ya kwanza hadi...
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu...
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza...
Wazee wa busara walisema , mtu akidanganya mara kwa mara bila uongo huo kukanushwa hadharani, wale wasioujua ukweli watadhani uongo huo ni ukweli.
Katika mchakato wa Katiba Mpya, wapinzani ...
Nilisikiliza kwa makini sana matangazo ya Mwema na Lipumba kuhusu kuahirishwa kwa maandamno..nilichosikia kwa mwema, lipumba na Kova ni km nimesikiliza CD moja yenye remix tofauti.
CUF na Lipumba...
KATIBA MPYA IFAFANUE NINI MAANA YA KUKASHIFU DINI. waisilam nhini wametaka katiba ijayo ifafanue kukashifu dini nyingine maana yake ni nini,kupitia kifungu kilichopo katika mapendekezo ya rasim...
Hivi karibuni Bunge la Jamhuri ya Muungano lilifanya mabadiliko ya Sheria ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kukawa na ususiaji wa Wabunge wa Upinzani na hata kuzusha tafrani kubwa.
Wabunge wa...
Naomba kuwauliza viongozi wa dini ya kikristo kupitia jumuiya yao mapungufu ya muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba na mchakato mzima unavyokwenda hawayaoni?Kwanini wanashindwa kuunganisha...
Ameongea ktk mkutano wa jangwani na kujifanya kumfagilia mhe Rais kikwete! Na eti anamwomba asisaini mswada wa katiba mpya! He kanisa limemshinda anajaribu kete ya siasa baada ya kushtukiwa na...
Ndugu zangu,
Kama Mwanafasihi na mshahiri mahiri Shaaban Robert angelikuwa hai ,basi, kwenye hili la mjadala wa Katiba yumkini angetamka;
" Turufu huenda kwa mchezaji...!"
Maana...
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameitangaza siku ya Alhamis ya Oktoba 10, mwaka huu kutafanyika maandamano nchi nzima kwa ajili kudai Katiba Mpya.
Mbowe amesema maandamano...
Mh WASSIRA Jana katika kipindi Cha tuambie Cha TBC1,WASSIRA aliwekawazi juu ya mchakato huu tangu ulivyo anza Mpaka sasa tulipo fikia. Huku akielezea kilicho tokea bungeni na taratibu Za bunge...
Hivi kwanini vyama vyote vitatu vinavyopinga kuwa zanzibar hawakushirikishwa kwenye mchakato wa katiba vilikutana na shura ya maimamu peke yao na wakristo wakaachwa solemba hv ni kwanini...
Huu mswada wa katiba cna hakika kama kweli wabunge wetu wanatuwakilisha vyema wananchi kwa mwendo huu cc watanzania kila kitu tuko nyuma kugombana bungeni sio suluhisho la matatizo wazo langu...
* Asema Tanzania itashangaza dunia
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendeleza msimamo wake wa kupinga muundo wa Serikali tatu kuingizwa katika Katiba mpya, kikisema kuwa muundo huo ni hatari kwa...