KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Ni dhahiri Tume ya mabadiliko ya katiba inayoongwa na Jaji Joseph S.Warioba imefanya kazi kubwa ya kukusanya,kuyachambua na kuyatoa maoni ya wananchi kupitia rasimu ya katiba mpya...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Ndugu zangu, Gazeti la Mwananchi leo Jumapili, mbali ya habari nyingine kemkem, libeba habari iliyonivutia kuisoma kwanza;" Dk Mahiga asema Katiba Mpya ni heshima"- ( Mwananchi, Jumapili, Juni 9...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katiba mpya inamichakato miingi, huu nao wa kila chama kwenda mafichoni kuuchakato nina wasiwasi na kuuchakachua, Hii katiba ni wananchi sio ya chama chochote, lkn ninamashaka makubwa na namna...
0 Reactions
3 Replies
919 Views
Ndugu zangu wana Jf naomba kuwasilisha hii mada kama mzalendo ktka taifa hili, kwa uoni wangu sioni mantiki ya hii rasimu hasa kipengele cha serikali ya shirikisho (serikali tatu) kwa sababu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SAFARI YA KUELEKEA MAMLAKA KAMILI IMEPIGA HATUA KUBWA: Na Ismail Jussa Mamlaka ambayo tayari Zanzibar itakuwa imeyarejesha kwa kuondolewa kwenye Muungano kupitia Rasimu ilotangazwa leo ni...
7 Reactions
224 Replies
17K Views
Kama kuna mtu yeyote anayejua anisaidie; ni wapi katika Katiba ya sasa ambapo Rais au mtu yeyote yule amepewa madaraka ya kuanzisha mchakato wa kuandika Katiba Mpya? Ikumbukwe kuwa viongozi wote...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
KUNA BAADHI YA VIONGOZI wanaona jambo la katiba ni lao wao na wanaweza kuwachagulia watanzania wanachotaka wao eti ndo sauti ya wananchi,Wanatoa kauli mbalimbali kwamba watawaambia wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na rasimu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuruhusu serikali tatu kwa maana ya serikari ya Tanzania bara, Serikali ya muungano na serikali ya mapinduzi ya Zanziba. Rasimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wanawachanganya watanzania kutokana na msimamo wao kwenye suala la Katiba ya nchi, mwanzo walitaka serikali tatu, Tume ya Katiba kwenye rasimu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
(3) Muundo, madaraka na mambo mengine ya kiutendaji yahusuyo Serikali yaTanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yataainishwa katika Katiba za Washirika wa Muungano. Ina maana hizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kukiwa na serikali 3 means kila bunge litakuwa na jengo lake kujadili mambo yake na hili la Dodoma kwa vyovyote lazima liwe la Tanganyika je la shirikisho litajengwa wapi? Maana la dodoma ni kubwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Swala la Serikali tatu limeanza kupigiwa kelele na baadhi ya watu has wakidai ni mzigo kwa taifa. Wengi wa hawa wanaonekana ni wanaccm. Amelisemea Sumaye, Leo Sita naye kalisemea. Swali je, hawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Sijaelewa vema kuhusiana na mfumo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasim ya katiba mpya. Naomba kusaidiwa kwa haya yafuatayo: 1. Kama rasimu ikipitishwa, Nasi Watanganyika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, MABADILIKO makubwa yamefanyika katika nchi yetu kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa wiki hii. Haya ni mabadiliko makubwa kuwahi kufanyika tangu mwaka 1977...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Angalia ITV live muda huu ili ufuatilie mjadala huu. Mgeni alieoko studio ni mjumbe wa tume.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa muujibu wa CD iliyonaswa msikiti wa idrisa na kuandikwa na gzt la tz daima inaonyesha kuwa sera za prof lipumba ni udini na unalenga kupendelea dini hivyo kama katiba itapita itaweka mwanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu muungano bado hatujaridhishwa nao, kwa maoni yetu tumependekeza muungano wa mkataba, kila upande wa muungano kuwe na mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yake, hayo ndo maoni ambayo tulio...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano, pamoja na mambo mengine..Wataka Umri wa mgombea uraisi upunguzwe tka miaka 40 hadi 35...Wataka Mawaziri wateuliwe nje ya wabunge...Uteuzi wa viongozi wa...
5 Reactions
273 Replies
20K Views
Rasimu ya katiba imeweka 'vizingiti' kwa watakao gombea nafasi fulani fulani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Vizingiti hivyo ni 'elimu' na 'umri', hii inatokana na umuhimu wa elimu katika...
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Kutokana na rasmu ya katiba ya muungano kuja na pendekezo la kuanzishwa serikari ya Tanzania bara na wazo hilo kuonekana kuungwa mkono na watu wengi sana na kuoneka kama limeshakubalika basi ni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…