Tanzania jinchi kubwaa hata kuendeleza mikoa ilonayo inashindwa kazi kushikilia kijisiwa kidoogo ambacho hata watanganyika wenyewe washasema basi
TATIZO CCM INAONGOZA HADI KINA WARIOBA... hili...
Kama rasimu ya katiba itapitishwa kuna umuhimu mkubwa wa mkoa wa Tanga ufanywe kuwa makao makuu ya Tanganyika kwa sababu zifuatazo:
1- Tanga ina historia nzito na nyeti!
2- Tanga ina bandari...
SERIKALI YA SHIRIKISHO TANZANIA
1. RAISI WA SHIRIKISHO MMOJA ASIYE NA MAKAMU
2. WIZARA 4 TU NAZO NI: -
i. ULINZI,
ii. URAIA NA UHAMIAJI BILA YA JESHI LA POLISI.
iii. FEDHA
iv. MAMBO YA NJE...
Ni masikio yangu yaliosikia na kwa kua ni muelewa nimeelewa hivi
Wakisema kwa kua waliowengi watanganyika hawalitaki jina la Tanganyika na badala yake ni Tanzania bara mara Tanzania.
Basi...
KAMA Watanzania wataridhia rasimu ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyozinduliwa wiki iliyopita na Tume ya Mabadiliko ya Katiba bila mabadiliko, itapiga marufuku Rais wa Tanzania...
Serikali tatu yageuka 'mwiba' kwa Warioba
NA DANIEL MKATE
8th June 2013
B-pepe
Chapa
Katibu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, Luteni mstaafu Hamis Chifupa...
Hii dhambi inawahusu wanabadiliko!
CCM wamechakuliwa maoni yao kwenye rasimu ya katiba mpya, hawakuamini kabisa kilichotokea kwenye hii rasimu, bila shaka wanahisi wamechakachuliwa maoni yao...
kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi siyo mwanasheria. haya ni mawazo yangu ya kawaida. nitashukuru wanaoifahamu sheria wakiniweka wazi kwa faida ya watanzania wenzangu. kwanza nampongeza jaji...
Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza...
Tunapoelekea katika mjadala wa rasimu ya katiba, kuna dalili za wazi kuwa Zanzibar itaibuka kidedea na kuwa kama Cape Verde, na hatimaye kupeperusha bendera yake UN! Tusubiri tuone, yetu macho!
.......na pia wamo "Watanganyika na Watanganzibar!.
Mimi shida yangu ni utitiri wa maraisi kwenye hii rasimu ya katiba!...Tunahitaji raisi wa shirikisho halafu hao wengine wawe mawaziri...
Tanzania ni mzee wa miaka 50 aliye m beba kijana wa miaka 18 na kawaacha watoto takriban 30 na wote ni wadogo na wanahitaji kubwebwa
Lakini kamshika mtoto mkubwa kwanini? Kuna nini?
at any...
Nimekaa kisha nikaona.mwisho wa siku hii katiba itawachanganya wengi. Awali tulikuwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano ambayo ilikiwa ni ya serikali mbili; Tanzania bara na Zanzibar. Katiba...
Ndugu wanajf,
kuna jambo linanitatiza na yeyote mwenye tafsiri nzuri ya hili asisite kunitafsiria
Kwenye rasimu ya katiba ya Mheshimiwa warioba kuhusu chaguzi ndogo majimboni,rasimu hii...
CCM imeitisha Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika mjini Dodoma. Lengo hasa la kikao hicho ni kuipitia na kuichambua Rasimu ya Katiba mpya iliyowasilishwa kwa watanzania na Tume ya...
A) MUHIMILI WA MAHAKAMA UMEWEKWA CHINI YA RAIS:
Kuna mahakama 2, mahakama ya juu na mahakama ya rufani:
146.-(1) Bila ya kuathiri masharti yoyote yaliyotangulia katika Sehemu hii, kutakuwa na...
Leo katika gazeti la mwananchi la jumapili Warioba: Ikulu kugawanywa - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Jaji Warioba amesema ya kua baada ya muundo wa serikali tatu kwa mujibu wa katiba mpya (kama...
Leo, mmoja wa wajumbe wa tume ya katiba mpya Prof. Kabudi.. kwenye kipind cha kipima joto cha ITV.. ambapo pamoja na mambo mengine ameeleza kwa kina tafsir ya mambo makubwa katika rasimu ya katiba...
Nauliza tu maana nina utata. Kama tulikuwa hatuajiriwi Zanzibar kwenye mambo yaliyochini yao je Wazanzibari walioajiliwa kwenye mambo yaliyokuwa ya muungano zamani watarudi kwao? Nisadieni utata huu
Kwa mzanzibari wa kawaida bdo anaihitaji sana TANZANIA inayotokana na MUUNGANO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kwao hawajui habari za wanasiasa na masuala ya utawala.
Ila kwa viongozi wao ndo ambao...