Civil Society Organisations have prepared inputs on the draft Constitutional Review Bill 2011 to present at the April 7 Public Hearing in Dodoma.
In a nutshell, the general comments are...
Wana bodi, leo asubuhi, nimelisoma tangazo la Ofisi ya Bunge, kwenye magazeti ya leo kuwaalika wadau na wananchi kuja kutoa maoni yao juu ya Muswada huu wa Mapitio ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka...
Hatimaye kilio cha Wanzanzibar kusikilizwa maoni yao kwenye ukusanyaji maoni ya marekebisho katiba ya Tanzania kama sehemu inayojitegemea, kimesikilizwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Sheria...
Wakuu! Asubuh bungeni wakati wakijadili mswada wa namna ya kutunga sheria ya kusimamia rasmu ya katiba, Zitto aliomba muongozo wa spika, na kusema kuwa, ni vema wabunge wakapata muda wa kwenda...
Salaam wana bodi,
Hatimaye ule Muswada Tata wa Marekebisho ya Katiba, umewasilishwa rasmi Bungeni leo kwa ajili ya kutangazwa kwa mara ya kwanza chini ya hati ya dharura.
Baada ya hapo ndipo...
Ni kweli tume hiyo ya katiba itakuwa huru kwa kutoshirikisha serikali, wanasiasa na vyama vyao vya siasa?
Ni kweli hakutakuwa na mamruki wa kisiasa na vyama vyao?
Tuesday, 29 March 2011 21:20
Mwandishi Wetu
MUSWADA maalumu wa kuunda Tume ya kukusanya maoni na kupendekeza muundo wa Katiba mpya ya Tanzania, unatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Aprili...
ibara ya 8 ya katiba hiko wazi juu ya nani ana mamlaka ya mwisho ya nchi hii, na rais aliapa kulinda hilo. je? kama sisi wananchi mpaka sasa hatutaki yeye aandae utaratibu wa kutunga katiba mpya...
Monday, 04 April 2011 23:30
By Mkinga Mkinga
Dodoma. A bill on the formation of a new constitution will be the centre of attention in the two weeks of Parliamentary sessions which start...
Hapo nyuma wananchi tulionyesha wasiwasi mkubwa na nyinyi kujihusisha na katiba kwa peke yenu, baada ya kutuibia uchaguzi wetu October 2010 ikatuondoa kabisa imani kwenu lakini bado...
Kongamano la UDASA jana Jumamosi tarehe 2, Machi 2011, limewaacha waTz midomo wazi, wakishindwa kuelewa dhamiri ya muswada huu!!!!!!!. Haiingi akilini kwa serikali yenye nia njema na mustakabali...
Kwa zaidi ya mwezi sasa media zimetulisha kiasi cha kutuvimbisha akili habari za Loliondo-sijui taifa limefaidika nini zaidi ya kuchochea maafa ya wanaokufa kwa sababu ya kujazwa matumaini matupu...
For many years since the country readopted the multiparty political system, political stakeholders especially from the Opposition camp have been calling for constitutional changes to enable one to...
Written by administrator // 31/03/2011
Na Dkt. Harith Ghassany
Leo nawaletea baadhi ya nakala za barua asilia kutoka nyaraka za Umoja wa Mataifa (UN), zenye kuthibitisha mtiririko wa kuwepo...
Nimeamua kuhama chanel sikutegemea chombo cha umma kikawa na ufedhuri na kumpuuza mtz kiasi hiki! Licha ya kongamano lenye kila sura ya kuamsha hasira ya mnyonge juu ya ubambucha wa chama cha ccm...
MUNGU NDANI YA KATIBA YA WATANZANIA HONGERA JUDGE SAMATA
My hope sasa Mungu anajibu kupitia wazee wachache wenye BUSARA, kama Judge Samata.Nilikua napata shida sana ni jinsi gani MUNGU...
Kwa kadri nilivyowasikia wawakilishi wa hivyo vyama vikuu vya upinzani inanipa hamasa kuwa kuna siku suala la katiba mpya kuwaunganisha who knows.
Mtatiro wa CUF- ikibidi kuchimbika patachimbika...