KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Wanabodi, Kanuni ya Kuu ya Kwanza kwa mwanahabari yoyote ni to tell nothing but the truth. Naomba kuitumia kanuni hii kuwaambia Chadema, they were wrong!, walikosea!. Ukikosoa makosa yoyote, toa...
23 Reactions
521 Replies
50K Views
Swali ( Farhia Middley dakika 45 ITV ) Je, Mzee Butiku Tume za Uchaguzi barani Afrika huwa ziko huru na kutenda Haki katika Chaguzi? Jibu ( Mzee Joseph Butiku wa MNF ) Ni Akili ya Kawaida tu...
21 Reactions
61 Replies
6K Views
Taja yangu haijafuata protoko ila ninachomaanisha, katika utumishi wa umma kumekuwa na hawa mabosi ambao wengi wao sio wanataaluma katika nafasi walizonazo ila wana power kubwa sana kwa watu ambao...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Tumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi...
14 Reactions
85 Replies
11K Views
Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo 1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Naomba wanasheria wetu Waliobobea kwenye Masuala ya Katiba watuelimishe kisheria. Je, Uwepo wa Wabunge kinyume na katiba ya nchi na Kushiriki vikao na Kuchangia hoja Mbalimbali na Kupitisha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu...
3 Reactions
15 Replies
805 Views
Katiba ya inchi ni makubaliano au utaratibu unaowekwa na wananchi wote namna gani taifa lao litawaliwe. Content kubwa ya katiba iliopo tume rithi kutoka katiba ya ukoloni. Wakati wa uongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya...
2 Reactions
3 Replies
831 Views
Kuna kautulivu flani unakaona kwenye nchi, kuna kauhuru flani unakaona kuanzia vijiweni,makazini,barabarani na kwenye mitandao ya kijamii watu wakijadiliana mambo kwa Uhuru bila kukamatwa na...
9 Reactions
11 Replies
956 Views
Nasema hivi, hatutakuja kupata tena nafasi nzuri na kwa muda muafaka wa kutengeneza katiba mpya iliyo nzuri kama sasa, namaanisha wakati wa utawala wa rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
8 Replies
846 Views
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi. Lakini naona wanarudi...
5 Reactions
87 Replies
4K Views
Wadau mimi sina Uelewa mpana wa Masuala ya Katiba ya nchi, nimeamu nililete Kwenu Suala hili ili nijifunze juu ya usimamizi wa katiba ya nchi. Swali langu ni: Je, ni nani mwenye mamlaka kisheria...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele. Tukumbuke aliipokea nchi ikiwa na wasomi wachache, teknolojia duni...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Zipo sababu kadhaa zinazowafanya makada wa CCM kuendelea kuing'ang'ania katiba iliyopo isibadirishwe na iendelee kuwepo kwa jinsi ilivyo. Kubwa kuliko zote ni maslahi ya chama chao, kila mwana CCM...
1 Reactions
3 Replies
974 Views
Habari wadau, Awamu iliyopita wengi waliililia katiba mpya sababu utawala uliopita wa awamu ya tano kiukweli uliwabana sana mbavu kila kona mpaka wakajiona kama wao sio sehemu ya Jamhuri ya...
1 Reactions
16 Replies
891 Views
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake. 84(7) " (d) if that person is removed from the office of...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…