Hey guys, hivi ni wapi tunataka kilipeleka taifa hili? Ni kweli jamani imefikia mahali tunasema hadharanu kabisa kua hatuna haja ya kua na katiba mpya kipindi hiki ambacho kweli tunalia na mifumo...
Habari wana JF
Nimesoma digest ya matamshi ya Muheshimiwa Raisi kuhusu mchakato wa katiba mpya. Kwangu mimi sijawahi kuwa muumini wa katiba mpya bali wa katiba bora. Ni mawazo yangu kwamba...
Ndugu zangu,
Leo Watanzania tutashuhudia Rais wa Jamhuri akikikabidhiwa Katiba Pendekezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Kitakachofuatia ni Katiba Pendekezwa kupigiwa kura na Wananchi. Na...
Wasalaam, Ukienda duniani kokote katiba ya nchi ndio sheria mama( mother law). Kwanini ni sheria mama, je watanzania tunajua maana ya katiba?
Ukisoma historia mungu alimuumba Adam, kisha akamnyia...
Tumpe rais wetu ushairi ambao hapewi na inner cycle yake.
umuhimu wa katiba mpya
1. taasisi kuwa huru na kutoingiliwa kwa kupewa mamlaka kikatiba mfano, polisi,jeshi,takukuru,bunge, mahakama...
Pole na kazi Mheshimiwa Rais na hongera pia kwa kazi nzuri sana unayoifanya ya kuwatumikia Watanzania,ni kazi nzuri mno,hongera sana.
Naomba pia nijitambulishe Mheshimiwa Rais kwamba mimi ni...
Hatimaye mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu ( African Court of Human and Peoples Right) itasoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Kesho jijini Arusha...
Kama ilivyotangazwa kutokana na ajali ya mv Nyerere kwa kila mwili utakaotambuliwa sh lak 5 zitatolewa Kama ubani .Kwa usawa huu wa vyuma Laki 5 itasababisha watu wachukue maiti zisizokuwa za...
Wakuu,
Tumeambiwa kwamba STD VII elimu yake ni ndogo sana na hawezi kutunga Sheria Bungeni, lakini tumeshuhudia maoni ya hao hao STD VII yaliyobatizwa jina la maoni ya "Wananchi walio wengi"...
Wakuu,
Mpaka sasa inaonekana kama vile Hayati Julius K. Nyerere ndiye "mkosaji pekee" katika kile kinachodaiwa kuwa ni "UBATILI" wa Muungano! Mwenzake Hayati Karume anaonekana yuko innocent...
Wakuu,
Kati ya watanzania ambao walikuwa concerned sana na suala la Katiba Mpya walikuwa Wanzanzibari!
Lakini siku zinavyozidi kusonga hawa wenzetu wanazidi kunywea! Je,
1. Walipata walichokuwa...
Niko naangalia kipindi cha uzalendo kinachorushwa na ITV ndg Thomas Ngawaia ambaye ni mkurugenzi wa taasis ya utawala bora amesema TZ ni nchi moja ktk katiba ya sasa. Na alipoulizwa juu ya uwepo...
Nimpongeze sana mheshimiwa Job Ndugai kwa kupropose vitu viwili muhimu ambavyo vimenifurahisha sana
Kwanza, waziri mkuu aongezewe madaraka
Pili, wananchi wapewe madaraka ya kuchagua wakuu wa mikoa...
Kutokana na bado kuendelea na kutumia SUMU ya 1977 ambayo kimsingi sehemu kubwa inakosa kuendana na kipindi kilichopo sasa, Tunahitaji SUMU mpya na si marekebisho ya sheria ndogondogo. Kama kijana...
Wana jamii vipi, mbona kimya ivo. Mmelidhika, hamhitaji katiba mpya? Katiba mpya tena yawalioba, ni mali yetu wananchi tuidai kwanguvu zote.
AMKA MWANA WA NCHI. KATIBA. MPYA NI HAKI YETU...
Habarini wadau. Natumai mmeamka salama na mmeanza shughuli za kujiongezea mapato.
Nadhani hii nchi ilipofika kuna uhitaji mkubwa wa katiba mpya itakayopunguza nguvu za urais pamoja na kumfanya...
Hili jambo nimeliongea humu mara nyingi ila leo nimeona nilirudie ile kwa style tofauti kidogo ya kutaja viongozi wa vyama vya siasa wakiwa ndio viongozi wakuu wa vyama vya upinzani.
Hapa Mbatia...